nilitaka niweke status lakini bas acha nilinde brand yangu
2026-05-09 05:45:56
9
pletty tinner :
mmmmmmh
2026-06-09 14:12:15
0
user8719668324926 :
mpenz wangu jmn mbon jnanitesa na unaniumiza mm japokuwa nakupenda au nimefanya kosa kukupenda asa atakama nimefanya kosa kukupend mbona uliniambia unanipend kwani ww hauelewi kuwa neno nakupenda linamaana kubwa sana au ulikuwa unanidanganya kwa kujifanya unanipenda lkn mm nakupenda ivoivo nimekukubali na madhaifu yako nakupend sana mpenzi wangu jk sk ukiona hii naomba unitafute Nakjpend😅😅😅
2026-06-05 13:14:25
0
Nurdeen26 :
yeah it's true
2026-05-23 18:20:40
1
Asha bint Aiman🇧🇮 :
sawa sikuach
2026-05-05 06:09:15
1
sandrina :
siwezi kukuacha nakupenda Sana ❤️kipenz
2026-05-16 20:28:40
0
LEAH YENTE :
Me ndo nilivy ambiwaga ivyo ivyo yan lakin naona kabisa mbinu za kulinda mishenyento
2026-06-05 20:21:37
0
Zamda two 🌹 :
Mmmh labda siyo mimi
2026-06-08 08:35:55
0
RAHA ♥️🫂 :
mimi ndo nimeachwa bado naugulia maumivu tu 💔💔
2026-05-29 10:10:19
2
Christina mapund :
saw sikuach
2026-05-02 11:34:51
1
Aisha ahmed :
Kipenz changu ni mama yangu nakuombea mema mama yangu na wengine wote mlio tangulie mwenyez awaepushe na mabaya amin
2026-05-28 18:12:18
3
Rouhynaah :
nakupenda🥰🥰🥰
2026-05-03 00:52:23
0
Kiwewe Mlagase :
we nenda2
2026-05-04 16:37:40
0
Pop 🥰🥰🥰 :
ndivyo ilivyo
2026-05-08 20:30:36
1
Rayyan Amour 💞 :
MAPENZI SHIKAMOO 😭😭💔
Ol in ol alhamdulillah 😭😭💔💔💔😭😭
2026-05-08 21:17:15
1
dullverde :
kweli mapenzi yote yapo hivyo ukiona hamna ugomvi ujue hampendani
2026-05-23 12:20:04
1
user8719668324926 :
kipenzi changu ni kaka angu nakupenda sana kaka najua sasaivi unapitia eakati mgumu hospitor Nakupenda sana kaka angu by. mdogo ako shadya