Niko rada sana. I’m just being. Nafunga hii chapter. Isness
2026-06-06 15:09:54
2
masauti shoes :
mbn ww unatumia tik tok hii hii kila siku inajirudia mzee
2026-05-02 16:10:59
19
Naikash :
I want it please bro
2026-05-16 18:16:39
2
kevy :
Hata wewe anko kila siku unashika simu mkono huohuo upo kwenye copy😂
2026-06-04 19:41:58
10
user82200757517921 :
yaan me nafwatiliaga podcast zako Kuna kitu najifuza na nahama katika level of consciousness 3 D 4D 5D Mtu kukuelewa ibidiii awe na welewa wa juuu sanaaaaa an
2026-06-14 13:10:52
3
Bulinge Simon Jr :
Inabidi nikutafute mkuu,kuna vitu nimejifunza kupitia wewe na mambo yanabadilika
2026-06-19 05:17:58
2
Unconscious Mind :
ko we mwanangu haupo kwenye matrix
2026-06-28 08:36:01
0
le madame :
ila bro unaongeaga nondo aisee
2026-05-02 09:44:46
6
Vozinha⁰ :
kama huna D2 huwezi elewa, but me nakuelewa kaka. kuna watu wapo kwenye utumwa japo wao wanajiona wapo free. 😂😂😂
2026-06-07 08:10:36
7
DANCAN_99 :
I like this dude🫵
2026-05-27 11:21:55
1
Mr president :
huo ndo ukweli tuliokwishatoka kwenye matrix tuko mbali mno mnooo mno saaana
2026-05-03 06:05:55
8
Shabil A J :
Makofiii! 👍 Upo sahihi sana
2026-06-02 21:11:24
2
Westonrapha :
Kama unavyo-ingia TikTok kila muda
2026-06-21 19:40:18
1
Rumi Wurld :
dah! bro nisaidie me nipo kwenye Matrix mwaka wa nane sasa...sibadiliki
2026-05-02 15:18:09
8
sokamilemdzagalindodi :
Unatumia mtandao uleule,unakaa kwa screen ileile, any way tupeane madili ayo ya kuwa nje ya mfumo?
2026-06-07 16:15:05
1
michaeldjunior7 :
Dangerous mind
2026-06-10 13:35:50
1
Mwanasiaka :
hawaezi elewa😁
2026-06-06 18:23:31
1
Jeff Tz 🥰 :
Usitufokee wenyewe upo kwenye hiyo matrix mbona kila siku unashoot hz clip tuache Mzee aliyetuumba ndo atakettuumbua mnatuchosha 😂
2026-06-03 20:11:53
2
taurus babe :
nimekufollow bro
2026-05-18 21:15:29
2
walking ghost :
mm hapa sasa nishatoka kitambo afu nilikuwa sijui kama sijatoka kumbe nshatokaga long way back
2026-05-22 14:41:15
1
7thDimension. :
Wewe mwenyewe unatumia tiktok ni part of the project ya matrix.
2026-05-10 16:10:31
4
jeisam :
Huku tiktok watu wajuaji sanaa
2026-06-06 22:07:46
2
Jaden :
umejiamlia jambo
2026-05-10 18:38:05
1
Binti Kyando :
kweli Kristo ana watu wengii
2026-06-09 10:44:42
1
To see more videos from user @muafrikamweusi.no.6, please go to the Tikwm
homepage.