Dah mwanetu katufelisha asee, kijiko Cha Ice cream kweli?😥😥😥
2026-05-03 11:13:14
555
Dalvin@tz :
😂😂 hawa wamechukua akili za mama zao🙌
2026-05-02 12:25:10
132
being_doroth🩸🦋 :
Me and 99 others
2026-05-02 18:10:22
19
RENJAZ JOSEPH :
kama una mpend mung laiki apo
2026-05-02 17:36:14
198
Neel🥀🥀 :
Mim ni uyo niliyechukua kijiko 😅😅
2026-05-02 20:29:41
161
ᗞᗴᑎᑎᎩᑕᗴ :
Hii kwenye Psychology tunaita Abstract vs concrete thinking
Kwa umri huo, akili bado inajifunza kufikiri vitu vya dhahania. Chocolate ni halisi wanaiona, wanaijua ladha yake. Lakini pesa hawajajua thamani yake
2026-05-02 14:19:12
384
Dr. Ngowi :
Hamna mchaga hapo?
2026-05-02 20:06:25
55
It’s.Anna.vibes🌺 :
Mnapokea Mtoto wa miaka 22
2026-05-07 08:41:16
27
edina kenani :
haaa😳😳😳 mwanangu ndo kijiko kweli
2026-05-02 15:29:31
65
furaha @# :
tuliokimbiya koment section tujuane
2026-05-03 04:16:09
16
RYAN :
Wakija kukua wakiona hii video watalia sanaa🤣
2026-05-02 20:42:21
5
Yohana magina :
msema kweli mpenzi wa Mungu hawa watoto wanantia hasira sana
2026-05-11 10:58:33
15
prophetess happy Oscar 💞🙏 :
Bwana Yesu asifiwe sana 🥰🥰🥰
2026-05-07 07:12:07
8
berrysandale :
Wakikua mje kuwaonesha hii video🤣🤣🤣
2026-05-02 20:36:43
15
muzdalfa6434 :
hujakutana na watoto wa dar es salam
2026-05-02 08:11:53
72
💞Fadya💜❤️🩹 :
Kijiko mwanangu🥺🥺
2026-05-02 21:07:17
34
cute02Jackie :
mwanangu angekushangaza😂😅😅
2026-05-08 10:46:47
7
CALVN LEMA :
Bro failed us😂😂😂
2026-05-11 05:30:11
11
Ms.Lucie💃 :
na mimi nije nichukue zawadi yangu
2026-05-02 17:30:21
10
♡soniaseoul♡ :
nimepatwa na hasira kuu😭😭😭😭
2026-05-02 16:14:08
14
To see more videos from user @mwalimusuedi, please go to the Tikwm
homepage.