@odashi_mare: Ivi BODA BODA tatizo nini mbona BODA BODA kapanda BODA BODA 🥹🥹🥹🤯

Odashi_mare 🇹🇿
Odashi_mare 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 05:51:36 GMT
1464976
49063
3083
4803

Music

Download

Comments

komesha63
komesha :
hyo nd maan halic ya maisha kwamba hatufanani brow unaeza ona ajabu lakn huwez jua mwamba anapamban na mamb mangap mungu amjaalie rizki na maisha mazur
2026-05-02 15:07:58
2642
mrsdaud75
❤️Mr &mrs❤️ :
kama ulishalala kwenye kunguni kama mimi mwaga ❤️❤️❤️
2026-05-02 16:49:10
4564
user612579684974
mzakilu👍 :
mmhhhhh
2026-06-13 12:34:32
0
user9398807249019
🌹🌹 :
Aliepatwa na huruma kama mmi like hapa😭
2026-05-03 15:42:48
1780
bahatijosephu691
bahati joseph :
nimegundua watu weng ni wanafiki sana pengne weng waliokomet na kuona ni kitu cha ajabu sana ni wapuuz tena hata aliyerekodi hii video ni mpuunz pia ...kama ww umezaliwa ukakulia kwenye mazingira safi mshukuru mungu sana lakin si kuona wengne ni wachafu na kuwadhalilisha mtandaon namna hii...hata mm nimezaliwa na kukua hawa wadudu wapo ...ndo maana tunapambana kubadilisha Hali zetu acheni unafiki wabongo
2026-05-02 15:33:56
1063
user.0750644242
mr.tyson65 🔥⭐️⭐️🇰🇪 26 life :
kama unakubali huyu Alie posti hii videos kazingua gonga like apa
2026-05-02 19:30:35
894
teerobert813
trynaa fashions :
ulivofanya siyo vizuri
2026-05-02 12:32:40
360
rajab9736
rajab :
angekuwa baba ako huyo ungerekod mzeee na comment nyingi ni za wadada bas mwanetu unaona sifa kinyama yaan🥺
2026-05-02 12:45:47
444
preciousofficial060
Precious 🥰 :
Nani mwngne amejiskia vbaya Kama mm 😭😭😭
2026-06-11 17:39:22
10
45silentdagger
@silentDagger :
ila me sijapenda hii tabia......ni unafiki💔🥹
2026-05-02 18:49:07
117
hanscanatz966
Hans tz :
Ongera sana kaka ila bahat nzr naww n mwanaume
2026-05-03 00:20:39
8
user9296834519218
waziriadam651gimailc :
nilijua sofa
2026-05-27 04:29:21
12
user6823201776086
Elivs Edwin :
angekuwa bab ako ungefany nnn
2026-05-18 18:33:50
6
zums48
zum's,@@@@@ :
sijui kwann nmejiskia vibaya kuona hii ,maish yanatofautiana achen drama bhna sijapenda kwa ujumla
2026-05-30 13:37:35
6
princess.jude78
princess Jude🌸 :
ungetenda ubinadamu ungemtoa tu bas sio wote tuko vizuri kimazingira sijapenda 🥹🥹
2026-05-30 16:53:34
9
mwajay584
Mwaju✨ :
Sasa kwann usingemuua jmn sio vzr 🥺
2026-05-27 15:53:43
5
user730093410814
chacha 26 :
Sasa mwana ume unakosaje vitu kama hivyo😂😂😂
2026-05-04 11:38:24
10
phinalucs
official✨phii :
sijapenda
2026-05-03 19:47:34
7
muuh_003
Muuh_official :
Anategemewa Mungu amzidishie Inshallah
2026-05-29 12:46:11
7
mariam04g
Mariam G :
Sijapenda dah😔
2026-05-04 15:31:34
6
politegirl47
Ruumy collection👔👗🥾🥿👠🧢 :
baba wa watu maskin🥺🥺sio sw
2026-05-02 15:01:03
153
ndacayisaba.jenvi
Ndacayisaba Danny Allan :
sijaipenda hiyo🤔🤔
2026-05-02 19:15:29
10
mr26kipaji
26 kipaji :
da zarau kweli
2026-05-04 16:40:08
5
ilkham239
@ilu-mekkap :
Imeniuma sana Mungu awafanyiiye wepesi wanaume zetu nababa zetu mola wetu
2026-05-03 09:10:09
37
mariam04g
Mariam G :
Alie hisi huruma kama mimi like hapa😔😔 maisha magumu jmn dah sio vizr
2026-05-04 15:29:33
6
To see more videos from user @odashi_mare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About