@ww.mavondogmail.com: #tiktokkenya🇰🇪 #gospel #virall #mchungaji @zerobrainer0

mavondo
mavondo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 06:38:17 GMT
1643615
76705
1924
3031

Music

Download

Comments

vee__tz
Vee :
Shukrani tunazo sana sema tunapata wapumbavu
2026-05-02 13:31:11
1406
minjamultbusness
MINJA MULTIBUSINESS :
Nan amtumie mke wangu hii clip😂
2026-05-02 19:51:28
1243
nancyfarles
nancy store :
Elf 2 na baraka katoa 🥰
2026-05-02 10:41:28
2138
gift.term3
Gift term :
Kuna mm naamka saa 6 mchana sijui nitaolewa na nani mungu wangu🥺
2026-05-02 17:14:55
1308
mumysaady
mama sadd :
Nimesikia huruma mpaka machozi yamenilenga lenga mno maana ameonesha shukran kubwa aiseee weee kaka umepata mke 🥰🥰
2026-05-02 12:33:55
597
kelvin.williamson6
Kelvin Williamson :
broo umebarikiwa Sana mwenetu🙌🏾
2026-05-02 06:43:34
355
benignaa_
Miss B :
Hii clip asiione mpenzi wangu😂😂😂😂
2026-05-02 13:11:13
452
48chimamyalice
chimamy alice❤ :
Hat mm nipo kama huyu😊 Sema wa kunipenda ndo cjapata🥺
2026-05-02 12:44:29
705
chweet.jojo
chweet jojo😋 :
🥰🥰🥰 ole wako atoe chonz kwa ajili yako ,, plz usimuumiz hata kwa bahat mbaya plz
2026-05-02 12:52:45
198
anieehtoto1
Anieh Totoo..!💜 :
Walee wanaotazama j pili asubh m barikiwee😍😅
2026-05-03 04:34:13
922
jane.nathan6
am_jane 🦋 :
Mme wangu aliskiliza hii clip Mara tatu akiwa ananiangalia 🥹😂🙌🏽
2026-05-07 05:46:48
19
shirimacresanta
Latifah :
Ata mimi nipo hvyohvyo sema wa kunioa yupo wapi
2026-05-02 14:02:11
69
denice.mangi
Denice Mangi :
bro tunza sana hi hazina ya familia,
2026-06-04 12:31:49
5
miss.alex10
miss.alex10 :
Uyu dada ni Mimi mtupu proud of you mate🥰
2026-05-02 17:47:46
134
emmanuely.dossa
Emmanuely Dossa :
Huyu mwanamke ukimwacha mungu akulani maana wenzio tumewahi kuishi na mizimu
2026-05-23 20:38:33
22
iptysamsaeed
Babe cham💜 :
tatizo sio elfu mbili, inategemea na mazingira unayoishi vitu vinauzwaje!🥰
2026-06-01 08:17:16
5
siza.juma2
Siza Juma :
mke wangu anasema hii ni AI
2026-05-27 05:15:29
8
fety.baby2
Fety Baby :
nyiee kunawatu wanashkurani🥰
2026-05-22 08:42:09
11
preciouspurity
preciouspurity :
Kuna wanawak wanashukran sana❤️
2026-05-02 12:20:14
75
ivangiven
ivan G :
baba umepta mke🤝
2026-05-03 08:04:46
19
mourece.s.aginga
Mimah🦋 :
Mpenz wangu asiione hii 🥺
2026-05-08 10:16:08
7
temu255tz
petertemu0 :
nime mpenda automatic 🥰🥰 mungu awafikishe mbali sana
2026-05-03 19:29:54
16
e.l.l.i26
Ellie🎀 :
Uyo ndo mimi sasa
2026-05-02 13:11:44
214
balticbriann
Baltic :
mungu niliitisha kama huyu wew ukanipea njeri,, am suffering 🥺🥺😭😭😭
2026-05-03 19:19:22
13
To see more videos from user @ww.mavondogmail.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About