@veriafya: Baadhi ya Watu hasa Vijana hudhani kuwa Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza hasa Kisukari hayawahusu, na kwamba huwa ni Magonjwa ya Wazee. Ufafanuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi alioutoa kupitia Mwananchi Digital unakanusha dhana hii, na kufafanua zaidi kuwa tofauti na Watu wanavyodhani, Ugonjwa huu huanza kutengenezwa ujanani

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 08:48:44 GMT
182321
4750
37
323

Music

Download

Comments

aron.mwanri
Aron Mwanri :
mungu akutie nguvu doct unaelimisha kwa hekima sana.
2026-05-04 22:59:35
24
kiafsasobibo
nauza na kutengeneza furniture :
2026-05-05 20:22:36
4
oswardkichwa
Osward Kichwa :
asante amen amen amen amen lltltlltl9rlen amen ll
2026-05-07 01:52:26
1
aminamickael
aminamickael :
Amen Docter
2026-05-12 06:20:24
0
ntahondidekas
Ntaho-Thinker 🇫🇷 :
nothing can be or not be at the same time.✍️✍️
2026-05-07 10:33:16
1
liverpool41
Liverpool :
kweli kabisa
2026-05-03 03:50:10
5
jazila922
jazila :
shukran
2026-05-02 09:27:32
8
fatuma.mussa54
fatuma mussa :
@asante kwa darasa
2026-05-02 13:39:23
10
arenmabati
𝓡𝓮𝓷*𝓓𝓻𝓮𝓪𝓶 💸 :
50/50
2026-05-02 12:44:02
3
eshy0829
eshy :
kweli kabisa
2026-05-03 04:12:47
2
cdez3
cdez3 :
tunyweee nn sasaa??
2026-05-04 15:35:06
5
alaiza1teamwork
TEAM WORK🤝💪🦾👦👧🧒 :
huyu kweli ni profesa
2026-05-05 11:09:45
4
user7781399801221
Its me😅 :
usituchanganye broo
2026-05-05 04:13:22
4
gabrielchacham
G. :
bibi na babu zangu wamekunywa chai ya sukari mpaka wakazeeka miaka 90+ hawajawahi kuugua kisukari wala BP
2026-05-05 06:07:38
3
isayaminja833
never no me :
vijana 2000 hatufiki uzeeni sasa acha soda
2026-05-05 14:22:34
3
one45251
one45251 :
Nice report for Dr janabi kama kuna taarifa zingine ningeomba ziwekwe ili tuelimike💪💪
2026-05-04 06:17:01
4
cokap97
Cokap :
huo muda sina
2026-05-06 18:36:12
1
chande.chande68
chande chande :
hyo ni kweli kuna siku asbuh nlikunywa energy ilinipandsha sugar tang ile sku soda ya aina yeyote marufku
2026-05-06 02:51:29
1
user3920392484211
Issa :
true 👍
2026-05-03 19:23:57
3
iamhans__
M̷r̷ :
💯 true
2026-05-02 15:33:10
3
wizzy.alpha.26
Satoshi Nakamoto :
ss mpaka miaka 50 sinatakiwa kusubiri kwenda kwa mungu baba jaman......ila asante kwa ushauri
2026-05-04 20:43:14
2
iallando
Notorious :
hili naweza kulikubali 100%
2026-05-04 14:17:21
2
user791726828379
user791726828379 :
Hahahaha
2026-05-02 17:14:05
2
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About