@bongo_stars_search: "Je, mavazi ya mwanamke ndio kigezo cha mama bora? 🎈🤔 Kwenye video ya leo, binti amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kijana kuhoji ustahimilivu wa mavazi yake (kitovu wazi) na jukumu la malezi ya watoto hapo baadaye. Swali limekuwa zito mpaka binti akaanza kubabaika, lakini msimamo wake ni mmoja tu: Tabia na malezi havina uhusiano na unachovaa. Huu ni mjadala ambao umekuwa ukiipasua jamii kwa muda mrefu. Je, mwanaume anapaswa kuangalia 'vibe' la mwanamke au 'staha' yake kabla ya kuoa? 🚀 JIUNGE NA FAMILIA YETU KWA KU-FOLLOW PAGE HII!Hapa tunapost matukio ya kweli yanayotufundisha na kutuburudisha. Usibaki nyuma, gusa Follow sasa uwe wa kwanza kupata notification ya video mpya!#poptheballoon #tanzaniatiktok #creatorsearchinsight #trendingvideo #edits

PODEDITS
PODEDITS
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 08:59:01 GMT
306843
20289
281
239

Music

Download

Comments

fetty47286
fetty :
Hilo dada taila
2026-05-02 09:17:35
358
user1057776127947
wema nyitambe :
bro sijui nikupe nn unaongea point sana
2026-05-02 09:23:11
292
mketo_the_son_furniture
MKETO_THE_SON_FURNITURE :
kaka kwel unaona hyu dem hayuko sawa gonga like
2026-05-05 09:18:47
110
amana.kudra
Amana Kudra :
Ili dada silipend
2026-05-02 10:35:59
49
princess.b494
princess b❣ :
uyo hajakuwa bado sana
2026-05-02 10:36:33
42
kasimubakar
Alreza :
Ila watu wa fupi khaaa kakazana komwee🙌🙌🙌🙌
2026-05-02 15:19:54
49
gamadommy
bojani🇿🇦 :
taila + konfidensi
2026-05-16 23:18:54
7
gjuniortz
[email protected] shaker :
bro ana mawazo kama yangu tuu respect to bro
2026-05-02 13:39:21
29
depatrihno2557
depatrihno255 :
hyoo dada akili ana?
2026-06-08 10:59:36
1
victoriaally5
Victoria Ally :
Mnaoona Dada Uyu Bonge La Chizi Gonga Like Apa
2026-05-25 15:24:05
8
bonishau6
^**canoㅈ☠️😱 :
akili ipo kwa tako bado
2026-05-25 09:49:18
3
brown.daimus6
Brown Daimus :
Mama yake nayeye alikuwa mnyamwwzi
2026-05-02 13:11:48
14
josephfelician
J%seph Felician :
mungu alisema mwili wa mwanadam ni hekalu.sasa hekalu gani lipo uchi
2026-05-25 12:12:31
2
agnessmahenge59
Aggie :
Hilo dada mandazi kabisaa
2026-05-17 12:46:10
5
mussahassani838
ibn issa :
nakubal san mwamb
2026-05-06 06:32:24
3
vicentmhoja.baby.b
NELSON @ :
mbona kidumu hiki kinatrend sana
2026-05-25 16:12:10
1
atleat7
atleat7 :
napata hasira jibu swali watoto wanajifunza nn ??😓😓😓pumbavuu kabsaaa
2026-05-03 04:41:51
13
2moo_14
Dogo wa TikTok :
hana point uyoo
2026-05-29 17:41:18
1
khamisibiri
@biliy biliy.12 :
Yani Leo mnefinya Leo niwa follow
2026-05-15 14:58:12
3
gamunda1
gamush da girl :
mavazi ni Moja wapo ya adabu
2026-05-04 15:51:24
4
user9214991274036
MASTER JORY :
huyu mwanamke mshenzy sana
2026-05-05 15:29:12
2
shechambo3
GETRUDA :
kumbe ni taahira kweli
2026-05-02 15:41:15
4
rachel1r.benard
Rachel1r Benard :
yaan ilo ni kahaba so mke
2026-05-07 09:28:11
2
frank.mwita80
Frank mwita :
😄😄😄😄hamna mke apo kakaa
2026-05-05 13:45:32
2
To see more videos from user @bongo_stars_search, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About