@bbcnewsswahili: "Kina mama wengi wanatumia 'akili za kike' kumlea mtoto wa kiume" - John Magoda ni mwalimu katika shule ya msingi ya watoto wenye mahitaji maalumu iliyopo jijini Arusha. - Katika siku za hivi karibuni, amejizolea umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii kwa hotuba zake zinazolenga kuwapa mwongozo na nguvu kina mama katika malezi ya watoto wa kiume. - @martha_saranga amefanya mahojiano maalum na @mwl.magodajr ambaye pia ni Mwandishi wa kitabu cha ‘Boys Code’ na kuandaa taarifa hii. - Tembelea ukurasa wetu wa YouTube ili kutazama mahojiano hayo kwa kina. - 🎥: @frankmavura - - - #bbcswahili #malezi #familia #foryou #tanzaniantiktok🇹🇿 #watoto
bbcnewsswahili
Region: TZ
Sunday 03 May 2026 13:00:00 GMT
Music
Download
Comments
_codex_.py :
The guy is Smart
2026-05-03 16:25:07
82
MR HANDSOME👿 :
post kama izi ukuti wanawake kucomment, why
2026-05-04 07:53:11
45
Junior mjubatz :
mungu atusaidie sisi wanaume
2026-05-03 13:04:10
42
Tinnah :
wanaume mtaenjoy kwa mungu mnapitia mengi magum mungu mbariki baba yangu kaka zangu na mume wangu 🥰 na wanaume wote amen 🙏
2026-05-11 11:07:25
9
Aloizo Duke :
KIBAHA FINEST magoda jr.
2026-05-05 07:13:33
6
Mudhihiri malindi :
teacher yupo vizuri sana congratulations my brother
2026-05-03 17:36:55
13
Natural Essence 🌿🌾🌵✨ :
Pia jamii hukandamiza sana mwanamke na mi kwenye mambo mingi
2026-05-04 03:04:24
2
Lifetime quality bags :
Ongela san kak 🤝🤝watu wanakosea sana kulea watot wa kiume
2026-05-03 17:58:24
17
BvanB :
💯💯💯 unaongea fact brother
2026-05-04 04:00:07
9
Boni tz :
this is the true definition of teacher
2026-05-06 18:16:48
4
Ezra Sanga :
jamaaa Yuko sahiii
2026-05-03 13:59:11
8
rich.jomy :
noma sana teacher ni mwelevu sana
2026-06-01 17:43:08
1
KOMENTI KALI :
unajua
2026-05-03 14:49:14
4
Wilson jnr :
pamoja sana broooo
2026-05-04 04:33:29
4
Ngweshemi Ezekiel :
Unayezunguka kutafuta comment hata moja ya mdada ngonga like. Brotherhood iko proud bro
2026-05-04 11:54:08
4
makamba25 :
unakabia sana juu
2026-05-04 20:01:16
2
muzas_bey :
unyama
2026-05-04 11:40:54
0
Perucy :
Aiseee🙌🙌🙌🙌
2026-05-04 05:40:10
3
Mweru Empire :
facts 💫👌🔥🔥🔥
2026-05-03 14:44:17
4
sekky :
yeah upo sahihi bro
2026-05-04 17:36:42
1
BBM437 :
ongera sana mwalimu
2026-05-03 21:04:34
2
KAZOBA TZ :
saf
2026-05-04 08:00:24
1
Sylvester :
Jamaa yupo smart sana
2026-05-04 04:37:16
2
muuh4600 :
Teacher leo umeongea fact👏👏👏👏
2026-05-03 19:50:18
2
athumani kadaika :
mama anaweza lkn lazima awe na maarifa mapana sana hasa kwenye maswala ya malezi pamoja na kupambana katika jamii
2026-05-04 12:02:45
2
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.