@luoga.mt.mtitu: Sala nzuri kwaajili ya matatizo makubwa; ndoa, ajira, biashara nk. Join Rozari challenge mwezi mei upate neema na baraka tele.
Luoga MT Mtitu
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 11:15:37 GMT
Music
Download
Comments
cuteone :
barikiwa. Father naomba kujua namna ya kusali novena ya huruma ya Mungu
2026-05-02 14:51:44
18
ms_didi1 :
Fungu la nne na la tano je.!?
2026-05-02 11:43:54
6
user5915759240915 :
Mungu nipatie hii neema nisali na mm
2026-05-02 14:56:52
7
user6936182053253 :
Nashukuru Padrii. kweli nilisali Rosari kwa nia nilijibiwa mapema sana
2026-05-03 16:39:39
4
anna :
father ubarikiwe umenifunza kitu
2026-05-02 18:04:11
1
Madam Schola :
Asante sana FATHER
2026-05-05 05:55:35
1
Lucy :
Asante sana baba. Mungu akutunze.
2026-05-02 14:32:11
1
user5327631881429 :
Amina Baba, Nakufatilia sana Naomb MUNGU Anijalie mwezi huu Uwe wa Baraka Kwangu
2026-05-02 19:20:13
2
chica :
Nimebarikiwa sana🙏
2026-05-02 16:43:00
1
user868205776966010 :
kweli Fr hata Mimi nimefanikiwa sana kwa kusali Rosary kwa mtindo huo mwezi wa Tano
2026-05-02 19:27:14
2
Godliver :
Mungu akubariki Baba kwa mafundisho mazur
2026-05-11 16:47:48
1
klexmann :
Amina father
2026-05-04 10:01:20
1
albina :
asante Sana fr
2026-05-02 19:48:00
1
Blanka Mbwilo :
barikiwa mno 🙏
2026-05-02 21:06:01
1
jawa :
aminaa
2026-05-03 06:44:07
2
collins :
Aina
2026-05-04 03:31:48
1
Pendo Nyange :
Amen
2026-05-02 12:24:31
1
lidya@Clemence :
amen
2026-05-02 12:00:59
0
MD fashion🪡🧵👗👘🧥👖 :
. Mungu akubariki sana Father naanza leo kusali
2026-05-24 13:11:15
0
R A L I Z Y 💞💕 :
Amina
2026-06-20 22:05:45
0
edwigashayo998 :
Amina
2026-05-31 20:13:47
0
pendo kalabo :
Asante sana baba Mungu akubariki kwa mafundisho nimebarikiwa
2026-06-12 04:55:30
0
pretty naah :
amina🙏🙏🙏
2026-06-04 09:04:06
0
ms phier❣ :
naomba msaada wa vifungu vyote vya rozali
2026-05-25 10:06:06
0
yosepha mahenge :
Amina
2026-05-02 12:04:54
0
To see more videos from user @luoga.mt.mtitu, please go to the Tikwm
homepage.