@masotojomixx: Sido_Pork Soweto, jirani na wanasheria 📍kwa nyama laini na yenye radha 👌🏽 karibu tukuhudumie, Piga simu 0697183825☎️ kuweka oda yako🤝
SIDO_PORK_mbeya🧄🫚🫑🧅
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 11:28:52 GMT
Music
Download
Comments
my enjoy :
mwee jamn hp sas kil shingp jamn
2026-05-09 05:42:37
2
@official GOLDEN PRINCE02 :
mnafanya delivery
2026-06-23 13:41:50
1
Roy baby :
shngp
2026-05-09 19:41:12
0
lebylucky :
vp mnafanya delivery
2026-05-16 15:58:31
0
_Rachel🦋🦋🦋🍂 :
delivere mnafany☺️
2026-05-11 09:43:45
0
CHARLZ 🌎 :
Ukitoa ugali shingapi hapo
2026-05-09 09:15:03
2
mr arsenal :
Mko wapi ,Nauliza mko wapiiiiiiii😂😂
2026-05-09 10:39:27
0
pharm lastborn :
location
2026-05-14 14:33:31
1
momy cristian :
beiii ganii
2026-05-14 11:53:43
0
Madam Upendo :
mnapatikana sido ipi viwandan au sokon?
2026-05-21 04:05:49
0
Sammy💖💖baby :
mkoagn
2026-05-06 17:01:26
0
Cf Kelvin :
unapatikana wapi
2026-05-17 09:08:19
0
tinabernad :
huwa napiga cm hampokei sms hamjibu
2026-05-18 10:14:59
1
FUKUNYU 3 :
wap iyo
2026-05-03 22:22:19
1
madam :
nilivyoona mchicha nikasema mambo ya mkoan haya dah nimetaman
2026-05-27 13:43:34
2
v kasambala :
Mwezi wa 8 ufike haraka panapo majaaliwa nije Hapo Wallah
2026-05-27 18:05:57
1
@Stopper Jr12 :
mnapatikana wapi
2026-05-15 09:34:52
1
@pookie❣⚜ :
sawa nmevunja kibubu nakuja🙌
2026-05-08 17:14:25
1
hustler✌️ :
hii jumps bei gani🥺
2026-05-13 12:41:45
1
kase :
jmn jmn mtanifanya nilee kodi ya watu😅😅😂😂
2026-05-08 18:21:15
1
💦OFFICIALLY 🦋 FLOWER 🌹 :
kudadekiii ubaya ni mbeyaaaa
2026-06-25 18:00:46
0
elishajack623 :
nipo katoro huduma naipataje
2026-07-20 06:52:25
0
Happiness Benedict :
Wapi hapo jmn
2026-06-30 18:07:38
0
Salome 🍓 :
🥰🥰🥰jamn
2026-05-03 15:04:48
0
To see more videos from user @masotojomixx, please go to the Tikwm
homepage.