@jogoolashambani: TUTUMIE YOTHO GENERAL SUPPLY COMPANY LIMITED kama wakala wako binafsi wa kukusanya mpunga toka kwa wakulima. ZONE: MBEYA – MBARALI – KAPUNGA AINA YA MPUNGA: SARO-5 GHARAMA: Gunia (debe 7) = TZS 110,000 Gharama zote ni kukusanya na kubeba mpunga wako kwenye storage yetu. TAFADHALI: Bei ya ununuzi kwa ujazo wa debe 7 inaweza kubadilika muda wowote. Kabla ya kufanya malipo, wasiliana nasi. Baada ya ununuzi, mzigo wote unakusanywa sehemu moja, utafuata mzigo kwenye storage facility zetu. Hatufanyi delivery, jukumu letu ni kukusanya kutoka shambani na kuhifadhi katika Centre yetu Kapunga. MSIMU: Kuanzia tarehe 10/5 mpaka mwezi wa 8 Mwisho wa kuhifadhi: mwezi wa 12 CONTACT: Simu: 0740 840 350 / 0712 346 462 Email: [email protected] PAYMENT CHANNEL: Malipo yote ni kupitia benki ya CRDB & STANBIC BANK CRDB Bank: YOTHO GENERAL SUPPLY COMPANY LIMITED Namba ya Akaunti: 015C0017BYJ00 Stanbic Bank: YOTHO GENERAL SUPPLY COMPANY LIMITED Namba ya Akaunti: 9120003777462 Kuwa makini na matapeli. Malipo yote yafanyike kwenye akaunti rasmi za kampuni tu.

Bepari La Shambani Official
Bepari La Shambani Official
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 12:23:06 GMT
13347
166
15
65

Music

Download

Comments

savanna.towers
Savanna Towers :
Gunia ni kilo ngapi?
2026-05-13 16:41:30
1
user7211659580358
user7211659580358 :
kaka uko gunia la kg 100 lilitembea bei gan kipind Cha mavuno
2026-09-23 13:41:01
0
ivanshris853
Ivan Shris :
vizur
2026-09-06 12:11:25
1
mahra7259
🐦🐦Mahra🦜🦜 :
🥰
2026-07-02 11:38:42
0
john.rikoo
GREENS Spare Parts :
🔥🔥
2026-09-16 05:06:37
0
To see more videos from user @jogoolashambani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About