@producerperfect: FULL BEAT ipo kwa bio yangu duet#studiorecording #beat #hitsonly

producer perfect
producer perfect
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 12:50:10 GMT
512896
37903
1110
828

Music

Download

Comments

gesaboy_og
Gesa boy-Og🇹🇿 :
Usiku nalala macho wazi 😳 nikikumbuka ulivyoniita wangu.🫂 Sasa simu kimya hata uko wapi haisikiki kwangu.😭 Nilidhani ni wewe mwisho kumbe ulikuwa somo tu.😔 Mapenzi yamenichoma sana moyo wangu umejaa kovu.💔
2026-05-02 23:53:15
230
exb2by2
Extwokizzy B2🌹BY :
naonamekwishakwisha,kwanini ananidatisha. hivi kwanini ananiabisha,mbele zawatu kanidharilisha. amenitelekeza bilakunificha,onasasa alivyonatisha. naombamungu yatapita, ilamoyonikisu ushapitisha.
2026-05-02 14:28:17
118
maklina.mhenga
Maso or rinah 💕💕 :
Ooooh ooooh x2 ninae baby wangu hensam haruki juu nipo chin ana come down vicheko furaha for living life hata akiwa chocho ananipa tam kwajinsi alivyo anishi hamu ananipenda nampenda good love good life yeah yeah 💗:. Hiyo ni lap : eeh jman had nimetoa jasho 😅 we kaka usipo nichagu
2026-07-21 21:11:03
6
kwio_kfc
KWIOO_GSM WATER :
Hilo uki MPAA lavalava baba uta liaaa
2026-05-03 19:01:02
33
champers_sam
champers🇹🇿 :
▶︎ 𒊹︎၊၊||၊|။||||။၊|။|||။|||။၊|| 1:52
2026-05-03 11:31:32
62
amenadiel612
𝗞𝗔𝗪𝗔 𝗝𝗡𝗿 :
▶︎ 𒊹︎၊၊||၊|။||||။၊|။|||။|||။၊|| 1:67
2026-05-03 17:07:15
17
kaishu.boy
kaishu boy :
kama mapenzi safari we ndio changu kituo kwenye hii sayari we ndio langu chaguo kukupata we kama zari sito kuchenchi kama nguo mapenzi yangekuwa mlango beby we kitasa me ndo funguo
2026-05-03 18:26:48
30
8murally
mu.junior💫💎 :
oohnanana mmmh mapenz yako deay leo me nayahadisia katika hii dunia ww ndo umenijulia sio siri nakwambia nimesha zama nisha ingia😄😄
2026-05-03 08:45:36
29
charzyhd
charzy Khan HD :
kaka ninakaziyako moja nimeshaifanyia tiz nawezakushea na ww
2026-05-08 19:01:43
7
aboubakar.001
aboubakar :
Oya naiyelewa iyo naipataje
2026-05-20 16:32:53
0
sahilmohd983
black boy @@#$ :
mwanangu udoo itendee kz iyo beat
2026-05-02 15:40:00
13
iddyjuma207
Dogo iddy :
Naiweza iyo
2026-05-02 19:01:36
5
bulembera_
Bulembera $ 🇨🇩🇨🇩 :
🥰💓💓naona penzilimenizidiyaaaaa na ponaaa kilanikikufikiriaaaaa kwenye Kona unavyozipangaa kiyaaaa kwenye mulima raha nikininginiyaaa ooo oooh!!! Nachoka kujifichacha Leo nasemaazaraniii baby nitumiye pacha niku posty mtandaoni🥰💓
2026-05-03 16:21:37
11
khamisimenza402
KHAMENZ254🇰🇪 :
salamu zangu natuma,zifikie kipenzi mi kiwa mzima,sikosi moyoni ila nitaeleza himahima,moyoni kinacho nila
2026-05-03 19:33:50
7
juve.sound
Juve sound :
safar mpenz nishaanza na kwako nishafika ,we kwangu tenzi minakuimba mawazo yakinifika,, macho yashaona warid kwenda mbali mim siwez sina ham na zile mbichi nilipendaa nikalia we lifute lilie choz kumbatia mami barid shuku shauk jalali akipenda nitakuoa ,,,&£/roho juu kisilan nishapenda kwako sion kula sili silali moyon nishaumia x2 ,,nisimalize nyimbo nipe hyo beat nilie humu
2026-05-20 03:55:43
8
mgeta_13
. :
▶︎ 𒊹︎၊၊||၊|။||||။၊|။|||။|||။၊|| 1:67
2026-05-03 09:13:00
18
georgemachage
George machage :
jamaniii jamanii mapenzi yamenipa ulemavu najuta najuta kuingia mzima mzima ona sasa kanitenda sina hata chakusema ndo nilimpenda kaniachia ganzi mwili mzima nabaki kwakusema shikamoo mapenzi niliingia kichwa kichwa najuta jama najuta kwanini nilimpenda
2026-05-03 03:33:55
12
sandrapaul524
sandrapaul524 :
wantam wantammmmmmmmmmmm wantam mmmmmm tuko kadiii ni wantaaaa waaaantam waaaaaaaaaaaaaantam
2026-05-05 20:06:47
5
jamo1700
Jamo :
▶︎ 𒊹︎၊၊||၊|။||||။၊|။|||။|||။၊|| 1:67
2026-05-03 17:09:26
5
shomkizzy47shomar
qeezy genius :
saw mi napita nayo
2026-05-24 12:36:32
0
sanic.silva
sanic silva :
vp bro
2026-05-08 10:07:20
0
divyele6
divyele 💫🎤💫 :
kwani mapenz ni nini? yananiumiz akili unaempenda akupend ye mwenzako anafata matajiri au kisa umaskin ndo umefanya akaenda ona Leo nalia mimi ameniach natesek
2026-07-16 17:06:55
3
josephwanje786
joseph wanje charo [email protected] :
bit kal mwamba hii
2026-06-02 18:48:34
1
jayzonetz3
jay. b .zone tz🇹🇿 :
kali sanaa
2026-07-18 10:30:40
0
januarylucas1
white tiger :
tembea nae man beat of kinyam
2026-06-24 20:00:26
1
To see more videos from user @producerperfect, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About