usioe mwenye mtoto hatakama mtoto ni wako. hatariiii sana😁😁😁😁
2026-05-03 04:25:09
443
🦋Butterfly 🪴🦋 :
kaka unapenda kujiamulia mambo jamani
2026-05-03 06:11:44
126
AMI JUAJE 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿 :
ongeeni yote lkn hapo kwa ety nisioe mwenye mtoto sio kweli mimi nitaoa maana nyinyi munawazilisha alfu mnawacha nani awaoe sasa?
2026-05-03 20:17:45
43
GressimoHelson :
Huwez Chama mistari ya ukweli kama hii alafu nikunyime follow, like na comment 🙏💪
2026-05-03 12:31:54
193
@377mpwani :
Dogo unaweza dhambi zako zote apewe Kajala
2026-05-04 21:46:42
22
mtonya wakala :
hii imenifanya nikufollow na nimeisave video yako
2026-05-04 19:56:28
5
DK MAN :
nyama tunanunua buchani, tulioelewa tujuane kwa like 😁😁
2026-05-04 20:18:23
21
MISS _🥰💝🏝️ :
Nyimbo ya kimaya hii wahuni pekee ndo watakubali
2026-05-03 11:28:48
72
Hb omy :
nenda studio hrk kaitoe iyo nyimbo
2026-05-03 03:30:35
16
MR BUD WA 3$ :
🤣kweli mama 😂
2026-05-03 04:58:43
5
dmalhani@47 :
Kama huna D mbili, hii ndo kali sasa na kwa kuongezea tu, chakula siyo lazima upate cha nyumbani kuna mama ntilie nae anasubir support ya mabachela😃😃😃😃😃zingatia mama ntilie siyo mgahawani lakini
2026-05-04 08:11:20
8
VeeD 🥰 :
ungejua tuliv kubalian kuhusu nyeti zenu 😁😁😁😁, ungeomb msamah
2026-05-03 19:26:38
8
𝕶𝕴🎤 :
Wale 10 /10 mje chap nalipa
2026-05-03 08:21:44
9
mrjb98 :
Kazi nzuri sana👏👏 endelea kutengeneza kazi nyingi zaidi uwe mrithi wa kala Jeremaya
2026-05-03 19:58:35
8
MGARATIA BOY24 :
hiv una akaunti mix by yas kama unayo nitumie
2026-05-05 05:08:21
8
Me ✨ :
uzinzi tuuuuu
2026-05-07 17:12:46
8
Agustino poul :
nyama ya kunua buchun iyoo kak tutakuleta ujii hospital
2026-05-03 09:33:17
5
IGNAS123@ :
unajua sana kaka 🫡🫡
2026-05-08 12:54:51
5
Mpemba Mweusi :
mbona mm sipatagi like
2026-05-05 21:54:54
7
feynar mursary :
tena maharage anaebandika kwenye mkaa aya niende zang kikao chenu mm akinihusu😂😂
2026-05-03 05:32:52
15
SLeopard :
Qmmke we fala unajuaaa😂😂😂
2026-05-04 16:00:38
5
Hawa Mohamedi :
tuliofanikiwa kwenda cuba ,,, plz nahitaji comment zenu kwa wingi
2026-05-04 19:22:33
9
the don master :
umechana vyema sana sema nitakufoll bdae😁😁😁😁
2026-05-05 17:30:52
7
Bakrhesa✈️✈️🖐 :
uko fiti nimekubali
2026-05-03 05:37:51
5
barbie Leilla🥰🧚♀️💫❤ :
ningecheka sema mume wangu atajua nimemsamehe😂😂
2026-05-04 15:06:00
12
To see more videos from user @hiphop_lyrics808, please go to the Tikwm
homepage.