@pr.zamenhof.ludov: Yesu kwetu ni rafiki, huambiwa haja pia, tukiomba kwa babaye maombi asikia. Njoo kwake BWANA ukiwa na imani, naye atakupokea na haja ya moyo wako atatimiza kwani ameandika katika Isaya 55:11 "Ndivyo litakavuokuwa Neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
Pr Zamenhof Ludoviko
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 17:14:25 GMT
Music
Download
Comments
mrc :
hii imenitia moyo mbarikiwe sana
2026-05-03 04:04:23
30
kinosaOG :
habari yareo
2026-05-17 07:29:52
2
mbabazi katho Jean :
napenda saana vipindi vyenu
2026-06-02 07:18:56
2
Teacher Marion 💕 :
mneza niambia historia ya 154:"YANIPASA KUWA NAYE" please.
2026-05-04 08:52:19
5
dee shiza mbugi :
barikiwa sana
2026-05-24 02:40:35
1
Silas Msule :
ameen mbarikiwe sanaa
2026-05-23 17:22:25
2
@brownmonkey :
Ahsante sana kwa ufafanuzi na maelezo mazuri...ubarikiwe sana
2026-05-04 03:39:39
11
Lydia :
asante kwa ufafanuzi mzuri
2026-05-04 03:21:36
5
pure brain🧠 :
naomba historia ya wimbo no. 17
2026-05-03 19:49:32
5
lowas :
nyimbo za Kristo number 21 nahitaji historia yake kujua
2026-05-03 19:48:57
7
nathland :
Amina mungu awe pamoja nasi kila wakati
2026-05-29 07:34:15
1
Teddy Lyimo :
Mungu nisamehe mm na unisaidie
2026-05-03 07:10:31
9
Wesley snipes :
Amina
2026-05-24 08:49:48
1
Donald mwahalende :
amen
2026-05-22 15:43:51
1
Mummy :
Ameen napenda sana huu wimbo kilanikiuimba nalia tu 🙏🙏🙏
2026-05-03 09:38:22
5
user4879339418107 :
Amina
2026-05-16 04:23:34
1
williamsbernard59 :
amina
2026-05-14 08:38:34
1
️ :
Amina
2026-05-22 21:57:08
1
Ambele Shibanda :
barikiw sana kwa hayo
2026-05-24 21:25:48
1
she is Highness🐝 :
kwani psta chacha jamani hana account tiktok
2026-05-26 21:42:47
1
Benjamin Musyocar :
im in tears🙏
2026-05-19 19:25:35
1
Sarahkisekuj❤️ :
mubarikiwe na mungu 🙏
2026-05-17 07:55:29
1
Alvin Abuyeka :
Asante Kwa historia hii
2026-05-16 10:51:24
1
janeth lameck :
Amen ubarikiwe
2026-05-11 12:29:00
2
To see more videos from user @pr.zamenhof.ludov, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.