@lamataleah: Leo tumempikia Mubaba chakula Cha Kichina kutoka Mata Mata Food 🤗🔥🔥 Enjoy Guys 🥰🤗

lamataleah
lamataleah
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 19:01:05 GMT
647859
23397
1438
1162

Music

Download

Comments

iam._.fia
Fia💕🧸 :
Ila lamata unapenda kujiamulia mambo mwenetuu🫴🏻😂
2026-05-02 22:56:08
1334
aidath.mahmood
Aidath Mahmood :
Lamata nakueshim sana
2026-05-10 22:00:58
3
bainachowo
HUMBLE G :
Ila watu wanapenda kujitengenezea mazingira ya uharoooooooooooooooo
2026-05-03 06:20:11
816
kally1300g
KallyG Stylish :
izo tambi au waya 😳😢
2026-05-03 08:41:52
327
user7713985082410
user7713985082410 :
Hizo ni tambi au timba
2026-05-03 03:54:13
148
msflower766
flower 💋🧸 :
izo tambi nazipata supermarket zipi
2026-05-03 07:05:14
11
mom.g52
itz_. dat.gal :
mi iyo wine tuu ndo nimeionea hurumaa
2026-05-04 07:57:20
87
officialtun1
officaltun :
Lamata ungeacha kujiamulia mambo jaman
2026-05-03 06:58:51
129
beatrice63818
Miss🎀~Beatrice🦋🦋 :
Alafu sijaona sehem umeweka chumvi jmn😅
2026-05-02 21:24:50
64
sarashybaby0
Sarashy baby🥰🥰 :
huo muda unaoharibu ungeenda kufanya mazoez😁😁😁😁
2026-05-04 09:23:20
26
judithngaiza18
S@g!tt@R❗️us🏹🫶😘 :
ndo uwaribu wine lamata🥹🥹
2026-05-03 06:32:02
11
dodomaaccessoriesstore
dodoma_accessories_store :
tambi zipo kama stiliwaya
2026-05-09 11:36:07
6
user3869254970592
user3869254970592mtu wa mungu :
Mbona konokono hujaeka☺️☺️☺️
2026-05-03 16:27:14
9
precious_felista
👑Precious 🌹 :
Kula mwenyewe
2026-05-04 09:46:25
11
vinnivinnah
thatgirlvinnah🇮🇳🦋 :
hizo tambi kama nyuzi nyuzi
2026-05-04 07:33:10
12
mariamagustino
mamu :
hizo tambi au waya za umeme
2026-05-04 06:44:25
6
alice.mapunda3
Official miss dee🥰 :
ila umejua kuchezea hzo nyam jmn dah
2026-05-03 18:52:18
7
potnajoseph
🧭Q🧭 :
mungu nisamehe niliju nyaya kumbe tambia
2026-05-03 14:11:20
6
mudrick89
Mudrick👑 :
Kwanini unajifanyia maamuzi mwenyewe 🥺
2026-05-03 00:25:38
11
phinner981
Miss ipupa :
Haya n matumizi mabaya ya wine
2026-05-03 09:11:09
9
_.amahya
@Amahya :
Unapendag jiko ila jiko alikupendi
2026-05-06 00:07:39
5
beingrey30
~Rey🦋 :
Can’t wait 😂😂
2026-05-03 03:58:12
6
rhodz5786
Rhodz :
Red wine with red meat, white wine with white meat au mimi nilisahau memo .. btw the food looks good
2026-05-03 06:38:47
10
To see more videos from user @lamataleah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About