@afyauzazitz: Unamimba na Mtoto amepunguza kucheza🫄 fanyahaya kunusuru uhai wake #creatorsearchinsights #dodoma #daressalaam #zanzibar #iringa

AfyaUzazi
AfyaUzazi
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 02 May 2026 19:17:22 GMT
146181
3936
54
236

Music

Download

Comments

phina4819
Phina :
Mungu anisaidie azidi kucheza hivi hivi kila siku mpaka nitakapojifungua
2026-05-07 21:37:30
50
user5665433731009
bethbethie :
naimiezi mingapi 🙏 please
2026-06-22 21:59:49
0
rosemanlove
Rosemanlove🦋 :
Mbona wangu hachezi ivo jaman
2026-05-05 11:19:15
4
luckygelo
Zeniy :
Mimba yangu ya kwanza wiki 22, sijui ni namna gani mtoto anacheza, Mpaka nilale niskilizie tumboni, na huhisi may be kuna kitu kama kina move lakin am not sure kama ndo mtoto anacheza au la! Kwasababu izo movement zinaendana na kuhema kwangu. Dr. Nasaidikaje mimi kujua kama mtoto yupo salama🙏
2026-05-03 07:29:14
5
mbuyubiesha
Mbuyubiesha :
Asante japo nishapoteza 😭😭
2026-05-09 09:21:33
5
faustarp.peter
Baby 💵 chimmy❤️ :
wangu anacheza usiku tuu
2026-05-31 22:54:40
4
user144772802538
angel shirima :
wangu hucheza sana usiku ila mara chache mchana
2026-06-18 09:58:53
1
shikubeby
user7855774527954 :
Asante
2026-06-04 09:22:46
1
user6955449421258
Fatuma :
Asante
2026-05-14 08:43:20
2
mee.too485
Mee too :
Asante kwa elim kaka
2026-05-21 04:45:19
1
user7781518223531
anna sitta :
Asante san
2026-06-01 17:04:29
1
user4218310173181
André Kuthya JW :
Good idea Dr
2026-05-09 01:15:59
3
user9663761926831
consolath :
Asante
2026-05-03 05:31:21
8
miss.d833
Miss d :
Asante kwa Elimu doct🙏
2026-05-02 22:47:34
7
jackline.magulya
Jackline Magulya Charles :
Hello Dr. Bugando tumekumic sn. mpe hi Wifi
2026-05-06 08:21:23
2
happier9318
Happier W@ Rose :
mm ni week 36 hivyo kapunguza kidogo je ni saa wa
2026-05-03 05:18:54
5
mbembaleh
Leahvee❤️💞🥰 :
hio mara kumi ni katika kipindi chote cha ujauzito au ikoje ikoje apo DR.
2026-05-02 21:33:07
5
user3533583238312
bria moe :
anaanza kucheza akiwa na miez mingapi
2026-05-27 20:53:55
1
missbosspius
Missboss Pius :
wangu anacheza Jana sijalala Yan
2026-06-10 16:12:30
1
mulaty5
user7420145395972 :
dah m miez 6 trna hachez
2026-05-03 12:04:34
2
user6057135059770
mamake Annette :
mbona nimepitisa siku
2026-05-29 19:33:25
1
saejo3435
Rose 🌹 :
me mimba yangu ya miezi 5,,, kuna siku hakucheza kabisa ila kesho yake alicheza saaaana
2026-05-25 18:38:09
2
user8119412076954
keziah🥰🫣 :
jaman me miez 8 anacheza sana mpaka naogopa
2026-05-03 07:31:20
2
natty.nana3
Natty 🦋 :
Mimi wangu nikilala upande wa kulia ndo anacheza vizuri
2026-05-08 16:25:37
1
haikamsangi617
mmmm :
tunakupataje doctor ?
2026-05-09 15:27:21
0
To see more videos from user @afyauzazitz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About