walio kuwa wanaimba pale ni backvocals wanaoleta ladha na sio watoto,na waliokuwa wana-dance ni watoto ambao wako kwenye dancing classes..sioni logic ya diamond kuharibu watoto hapo coz kuna nyimbo mbovu sana tu zinaskika mtaani licha ya hii kwa watoto kuwa kwenye video
2026-05-26 08:51:03
20
Hyness official :
naachaje sasa kukupa like big up bro
2026-05-19 16:05:05
22
am :
umeongea really sana bro god bless you 🙏🏻
2026-05-22 07:02:34
23
Linet :
Mungu akupe ufunuooo zaidi
2026-05-22 13:53:14
10
swaumsaid222 :
kaka mungu akujaze kheri mana sanaa hasa muzik inaharibu sana watoto wetu allah atuongoze jamani
2026-05-22 20:32:05
10
beny vanny :
Tulio kimbilia kusoma comments 2juane hapa kwenye like
2026-05-08 14:13:21
15
user1822514519805 :
Aise hongera sana saidia kizazi hiki Ona! kwanza hata kulaiki kwako wanashindwa O,MY God