hii ni kweeli mtupu, Sio mume tu hata wazazi na ndugu. Na sometimes tunajisahau kuwa Mungu tunayempenda na kumuabudu ndio Mungu aliyetuagiza kumheshimu Mwanaume na kuwaheshimu wazazi.
2026-06-04 21:13:29
0
Lilian Josephat :
kweli kabisa ibada huazia nyumbani💯
2026-05-04 06:52:19
4
Selina kipandwa :
Hujui tu usiiseme sana
2026-05-30 08:48:25
0
Theresia John :
uko sahihi Mtumishi wa Mungu
2026-05-05 07:26:01
2
NAHUMU 1:12 :
Mimi ni mwanamke ila hii ipo sawa sana
2026-05-05 12:28:06
1
CNEG :
Ni kweli kabisa
2026-05-03 07:29:16
4
Kemisha :
Natamani ata ni double like kwakweli unaongeaga points sana
2026-05-05 19:14:09
1
🌸Skyner Beauty & Accessories :
Umetufokea leoo 🥺ila kwer tunakosea BIGTIME 😒
2026-05-03 08:20:42
1
S.I.L.L.A.H :
wanawake waliocoment apa wana hofu ya mungu sana
2026-05-03 06:21:34
1
MARIAM 🥰 cute :
kabisa
2026-05-05 09:01:14
1
Grace 👑 :
upo sahihi
2026-05-03 05:38:20
3
yasinta :
Umenena kweli MUNGU mwema atusaidie kubadili mfumo wetu na mienendo yetu
2026-05-03 09:25:03
3
Irene kinyaiya :
tuambie ukweli tupone
2026-05-03 11:07:02
1
careen Kasililika :
Mungu atusaidie sana Wanawake sijui ni wapi tunaelekea! 🤲
2026-05-03 09:53:38
1
aneth kalinga :
fact
2026-05-03 05:37:04
0
Prisca Mgonja :
umeongea ukweli mchungu sana mtumishi🥰
2026-05-13 06:51:06
0
stigmartha_stephen :
Leo nimekuelewa sana
2026-05-11 10:01:29
0
masaki health care :
mm ata kansa sjui
2026-05-23 08:20:59
0
JUllieth chavala(Bibi cookie) :
Yes it is true
2026-05-13 09:50:37
0
Moses Remmy :
Exactly
2026-05-25 07:07:56
0
user3749541352732 :
Exactly
2026-06-05 15:46:33
0
msofeViatu 👞 :
True 💯
2026-05-03 05:44:38
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.