@mtondooibrahem: 🤲

Mtondoo Ibrahem ✍💥
Mtondoo Ibrahem ✍💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 May 2026 07:16:53 GMT
70933
4681
118
720

Music

Download

Comments

mtondooibrahem
Mtondoo Ibrahem ✍💥 :
Ameen 🤲 Kitabu chake kinaitwa Twariqatul sawiya fi wasail shamsiya kinapatikana Tanga Tamta au Shamsul maarif kina mchanganyiko wa Duwa 20 1.Suratul Yaseen 2.Dua Suratul Yasen 3.Tawassul Nabahani 4.Saaltuka ya Maula 5.Yaa Man'yara fi dhwamira 6.Nad'ghuka Mudhtarina Bi sifat 7.Baada'ghatu bihamdi llah hamdan'mukamala 8.Yarabbi swali Al-muhktar mi'mudhwar 9.Swalatul Basharul khayrt 10.Ahlul badr 11.Adauna 12.Jaushan Kabir 13.Twaybal A'smau 14.Allahuma ya hayyu ya Qayyum 15.Duwa Istghfar 16.Duwa ya kuhitimisha Isghfar 17.Ila llah nashkuw Ghalimi'sir 18.Yarabbibl Mustapha 19.Swalatun Nnariyah 20.Swalat Jamigh KITABU HIKI KIMETUNGWA NA KUKUSANYWA DUWA ZOTE NA MUASIS WA SHAMSIYA . SHEIKH MUHAMMAD BIN AYOUB ALLAH AMRAHAM .🥰🥰🥰🥰🥰🥰💯❤❤❤❤
2026-05-03 07:31:29
31
amourowxv27
Ladein :
nakipataje hichi
2026-05-03 21:04:19
2
amisalim28
Maalim Ami Salim :
Naisikiya sauti yako shekh wangu Shekh WALID
2026-05-03 09:21:38
13
salmahamisi190
salme@0707 :
MashaAllah tabaarakallah shukran jazyllah kaka mkubwa Allah akupe wepesi ktk kila unahitaji nilitamani Sana ukijua hiki kitabu shukran
2026-05-04 06:09:10
3
planetx.mayra
MaYrA💅 :
Allhumma Ameeeeeeena
2026-05-05 05:04:14
1
tawakal074
Tawakal07 :
ameen
2026-05-17 23:43:58
0
mwinyi888
mwinyi888 :
Assalam alaykum Shekh.. Samahani sana Shekh naiomba hii Shekh wangu..
2026-05-24 14:53:49
0
abdallahhassan9407
Abdallah hassan :
nami nitumie inshallah
2026-05-19 15:10:04
1
user69618509817854
Rosemariey :
nawpenda hii sauti,wallah nasikia Raha,mungu akutunze shehe walid
2026-05-05 03:01:33
1
userngomandodo.com
SHEHOZA jr :
aamin Yaa rabbil alamiin
2026-05-04 15:01:11
1
mamnourbby
mamnour :
asante kwa kutuwekea sauti ya shekhe walid pamoja na maandishi ya hii duwa Mmungu atakulipa inshallah
2026-05-04 18:54:10
1
husnamohamed2020
Husna's kitchen :
amin. mashallah tabarak rahman
2026-05-19 22:57:15
0
umiy696
Umi jey :
amina amina amin
2026-05-18 19:15:28
0
saleh.bejja
Saleh Bejja :
Allah takabal duwa amin
2026-05-22 18:27:04
0
usermunawwar1
user9732679863282 :
Amiin Amiin
2026-05-17 07:05:06
0
3i_islam_iman_ihsan75018
3i islam_imane_ihssane_75018 :
اسم الدعاء، كتاب ؟؟
2026-05-19 23:14:04
0
zamiyla8
Zamiyla8❣️ HERBAL PRODUCTS :
aaamin
2026-05-03 16:13:12
1
seif.said18
Seif Said :
aaamiin
2026-05-03 08:00:58
0
massoud1121
massoud :
masha allah
2026-05-15 13:13:37
0
latifawazir
latifawazir :
sauti ya Sheikhe wangu♥️Kwa ajili ya Allah Amin🤲🤲🤲
2026-05-15 09:29:57
0
naurat4333
naurat4333 :
ameen 🤲
2026-06-10 16:27:59
0
fams538ttk
fams :
Amin
2026-05-17 05:56:22
0
muna.bhai573
Muna Bhai :
Subhaana Lillahi Wahidull Khahaar 🤲 Ameen Yaa Raball Allameen Ameen Ameen 🤲 Ameen Yaa Malikull Mullku Ameen 🤲 Ameen Yaa Malikull Kuduss Ameen 🤲 Mola Akupe Umri Na Afya Nyiradi Tumeziwacha Na Mola Nae Pia Ametusahau Zamani Kila Baada Ya Swala Ya Afajiri Tumakizapo Kuswali Ilitua Twaleta Halili Na Swala Ya Magharibi Leo Tumetejejeza Kila Kitu Kwakauli Za Kiyahudi Kuwa Mtume Kafanya Allah Azidi Kutupa Imani Ilitudumu Ktk Nyiradi
2026-05-17 06:40:55
0
jardin_djema
Jardin_djema :
amin
2026-05-15 13:02:09
0
muhammadshomari
Muhammad Shomari :
amiin
2026-05-03 08:19:50
0
To see more videos from user @mtondooibrahem, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About