@madam_leila: Karibuni katika Darasa letu la pili la Online. Hii ni baada ya mafanikio ya Darasa letu la Smart Ladies Master Class. Katika Darasa hili tutakua na mgeni Muhimu na Mwanazuoni @izudin.alwy.moham Darsa hii inatakua ya siku mbili yaani Tar 29 na Tar 30/5/2026. Mada kuu nne zitajadiliwa pamoja na nafasi ya maswali na majibu. Washiriki ni watu wote, Wanawake kwa Wanaume. Nawakaribisha nyote kwenye Darasa letu hili Adhim na Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yetu. Kiingilio ni Tsh 50,000/= kwa siku zote mbili. Namba ya malipo ni Lipa kwa Mixx by Yas Namba: 8561947; Jina : Leila Chams. Kwa maswali, maelezo zaidi namna ya kulipa na kujiunga, tafadhali tuandikie kwa namba : (+255) 0757643746 WhatsApp na kwa Simu ya Kawaida.

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 May 2026 08:01:10 GMT
401326
28590
217
3264

Music

Download

Comments

kareemmrutu
Mrutu :
Madam, unajua mpaka unajua tena💯💯📌 Naona Kila post yako inanigusa sanaaa katika maisha yangu. Mungu akusimamie utimize malengo yako 🙏
2026-05-03 08:33:32
86
abdulnasr29
abdulnasr29 :
Dada ungekuwa karibu ningekubebba mgongoni
2026-05-03 09:00:43
19
finahabubakar
Finah✨ :
na mimi wa vise versa je ni comment wapi
2026-05-03 09:15:49
9
joycemwakasindile
Joyce Mwakasindile0617389873# :
dada naomba kuuliza , je nikitumia namba ngeni kumpima uaminifu mume wangu nisahihi au sio sahihi?
2026-05-11 10:29:38
3
fatumamaftaha_
mama Vitalis🧚 :
kweli kabisaa..
2026-05-03 10:14:57
8
alphansamwi
alphansamwi :
yaan inanihusu hii,🙏🙏🙏
2026-05-12 09:39:07
1
hajufa_
HAJUFA_1 :
allah akupe kila la kheri madam leyla duh
2026-05-06 08:03:12
4
sarafina712
sarafina712 :
Mungu nifundishe kunyamaza ndio ombi langu kila siku
2026-05-03 10:36:07
19
mis.sharifa0
Mis Sharifa :
Swadakta Dada
2026-05-04 10:08:05
1
07bella24
Salma Dullah :
kweli
2026-05-03 09:50:36
3
gladis.burton
Gladis Burton Tukuyu🤝👊 :
Mwee jaman nashindwa kujizuia nkiwa na hasira mungu nisaidie🥹🥹🥹
2026-05-05 05:43:43
3
user4874666373169
user4874666373169 :
Dada yangu, haki una ongea ukweli kabisa, joo tupatane
2026-05-03 12:41:34
5
nzabamwitadjuma1
Abou Mouhsin djuma Abdallah :
Maman Wew Allah Akupe Afya na Akubarikiye kwenye Umri wako kweli Mafunzo yako Mazuri saaana Maaasha Allah.
2026-05-03 11:38:51
13
coach.yash20
Coach yash20 :
nakufatilia sana tuilimishe mamaa uko sawa
2026-05-04 04:00:05
4
tiktok.comjammystore
_Jammy_Store 🛍️ :
nakupenda sana dada🥰🥰🥰
2026-05-06 18:04:43
1
ibnu.qassim
Ibnu Qassim :
nakupenda bure madam, nilichelewa wapi kukujua, ningeleta posa
2026-05-03 11:20:58
6
salum.phoneaccessories
Salum phone accessories :
mashallah madam leila contact zako.kila ciku nazifuatilia zinanifunza sana🙏🙏🙏
2026-05-03 09:26:59
6
phas158
phales chisele :
exactly 💯
2026-05-04 14:38:31
1
cute_.mimah
cute_ mimah🦋 :
ndio maan nmejifunza kukaa kimya...na nmeona inasaidia asee
2026-05-03 12:10:26
6
kauthar.kauthar0
Kauthar Kauthar :
nakupenda sana dada
2026-05-03 09:16:18
3
alka_23u
user9914761098116 :
wenginewawo wantuma kwa simu messages upon messages
2026-05-04 08:55:38
2
danielbaraz1
danielbaraza146 :
kabisa 100 kwa 100 dear 💕💕👌👌👍
2026-05-04 14:28:10
1
nadhifaabdi5
zamzam :
very true my
2026-05-11 19:41:38
1
user2325503083690
kym :
me nishamwambia mtu simpend na simpendi tena
2026-05-10 13:44:50
1
user57835428150441
[email protected] :
kweli kbs dada
2026-05-04 06:53:42
1
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About