@healthcareclinic8: Wewe ilikuwaje mwanao alipokuwa na mafua makali alafu yanamfanya hata kupumua inakuwa shidaa ebu tujuzane njia gani tutumie kusaidia wengine wanapopitia hali kama hii tujifunze wote💬💬 #afyayauzazi #fyp #viraltiktok #fypage #pregnant

HealthCareClinic
HealthCareClinic
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 May 2026 09:03:02 GMT
667586
9933
383
488

Music

Download

Comments

evawilson707
Eva Wilson :
vuta talatibu dada utavuta na ubongo wa mtoto🥰
2026-05-13 19:32:32
58
user77004117581342
user77004117581342 :
mwanangu nakupenda ila mapenzi ya kukuvuta kamasi sina😅😅
2026-06-04 16:58:15
153
momahya1
MOM AHYA :
mungu mjaalie afya njema mam yang inshaallah
2026-05-03 17:01:26
317
josephine.njema
Josephine njema :
mm siwez ata kdgo
2026-05-03 19:06:17
33
bobshey1
bob-shey💖 :
wakina mama wote tupate mwishomwema amen🙏
2026-05-12 21:17:58
45
user3602695166670
@🤍Nishaly🌺 :
mungu ampe my mom furaha na maisha mema hapa dunia mpaka mbingun. amina
2026-05-13 16:30:53
5
minna5598
Minna💕💕 :
nawapenda san wanawake wote
2026-05-03 20:52:01
22
tiktok.comnoela
Noela ❤️‍🔥💞🌲Andrew :
hivo unavofanya wewe MUNGU mwema lazima nimpe msaada mwanangu🥰🥰🥰
2026-05-03 17:08:57
16
lidya.keneth
Lidya Keneth :
mungu mjalie afya njema mama Angus na maisha mrefu
2026-05-04 12:14:26
8
im_chidoly
i’m_chidoly😴 :
Mungu mjalie mama angu maisha marefuu
2026-05-27 12:30:26
8
landrineheshima
landrine Eshm :
haya na mimi na fanya hivyo
2026-05-03 19:30:30
5
chibabaa1
NASHONI😋 :
kuwa mama so kazi rahis mungu awasaidie kina mama wote dunian nawapenda sana 🥰🥰🥰
2026-06-08 16:03:31
41
justa.france
Rahstar 💜💜 :
nmekupenda mamaa 🥰
2026-05-03 10:50:20
5
feby2460272565688
FebbyCakes 👩‍🍳🎂 :
Mm nawez atakuyameza saw tu ni mwanangu🥺🥰
2026-05-04 20:39:07
16
whitebm6
Tinny..@BM6 :
Ndo Umeze
2026-05-04 16:11:06
5
asnati.answary
Asnati Answary :
niliyanyonya jaman tugongen like hap
2026-06-06 12:58:52
7
yuuh184
yuuh 🦋🦋 :
Ndo umeze
2026-05-13 14:31:10
5
shamsizouronu
ShamsiZo UroNu :
mama ni nguzo kubwa sana...Nakupenda mama yangu
2026-06-08 20:16:39
6
samy.og00
Samy og :
mwanang nishawah kufanya ivo kana week 2 tu kanashikwa na mafua mpka anashindwa kupumua vizureee adi naogopa mbn nilikuwa namfanyia ivo ata bila kufundishwa na mtu🥰🥰🥰🥰
2026-05-14 14:06:05
6
user534901881551
Johann'sDianah :
Mimi nitatabika
2026-06-28 13:17:14
1
user3822195305074
user3822195305074 :
Mungu wape mamazut mwisho mwemaa❤❤
2026-07-08 11:39:19
2
user7710530597683
Mrs nyok🌽🌽 :
Mama uyo
2026-07-12 09:43:43
1
officialsweetpie3
@ OFFICIALLY - Sweetpie ❤️🫂 :
Mmm Siwez jmn 😂😂
2026-06-18 15:32:14
1
rachelbenediction
@Rachel ❤❤ :
Mimi hata Leo nimeyavuta
2026-07-11 19:17:06
2
To see more videos from user @healthcareclinic8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About