naomb mnijibu kwann watu wakienda huko urudi weupe sana
2026-05-04 06:05:26
249
Tegeta Massage :
Warangi ndio kazi zenu hizo😁
2026-05-05 03:26:14
125
Officially sophy :
But oman ukipata bosi mzuri akikupenda utaenjoy sana na hutopachukia
2026-05-03 16:09:52
289
FARIDA OMARY Kidoti 🥰 :
hebu mseme ukweli mshahara kwa mwezi ni Bei gan samahan
2026-05-04 13:29:42
27
Chalant :
Wanarangi mnapenda kazi izo
2026-05-05 00:16:55
25
JASMYNE ♥️♥️ :
umetunza kumbukumb vizur mashallah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-04 12:17:29
42
rukaiya :
Mimi 2016😂😂 nachoka
2026-05-03 09:40:51
28
mishimishi :
sijuwi Kwa nn nimeikita vidio hii nikijiangalia ndo kwanza nna week😭
2026-05-04 05:56:41
7
🌹🦋 :
Mashallah uyu boss wako ulivokua wanona shepu hakukuonea soni🥰
2026-05-04 13:43:17
33
Ilhamlee😊 :
alafu sie warangi wazuriii bhn🥰
2026-05-04 08:36:27
31
Assher Salum :
Hela z nch gn
2026-05-03 16:10:30
6
Ephrosina :
oman wanaenda waislam sis wakristo hatupawez
2026-05-05 14:46:28
6
جونيجو مسوث 🦺🇿🇦🧔 :
story yko haina utofauti na ya mke wangu mungu amtie nguvu
2026-05-03 20:41:16
24
KIPUNGO :
tuliokuja 2018 tujuame
2026-05-03 18:14:33
5
✨Kim mima✨ :
sorry sijakusia ukimzungumzia Momy 🥰
2026-05-03 09:41:56
13
Ramlaty :
nmemuona rafiki yangu khadija mashallah 🥰
2026-05-03 09:24:02
8
swaleh660 :
kisa kizuri,umeeleza vzuri.uko sawa kwa visa,hata mtu hawezi Katia katkat,anaangalia mpaka mwsho.mm nmeshtukia imeisha na umerudi.dah.MashAllah Allah akulinde na akuongoze zaidi. Amin
2026-05-05 14:22:10
9
jannat kuraish :
maa shaa Allah
usijal Allah awakutanishe tena peponi
ninyi pamoja na vipenzi vyetu tulopoteana nao 🥰
2026-05-03 09:33:51
7
BULLDOZER :
Ume nikosea sija muona baba mkwe 🤣🤣🤣.
2026-05-03 11:36:40
5
sakna Ali🌹❤️ :
mashaAllah 🥰 Allah akufanyie wepesi Amin
2026-05-30 21:58:48
3
𝗠𝗢𝗠𝗢𝗛 𝗡𝗨𝗧𝗥𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡 :
80/80
2026-05-04 17:06:15
0
mommy🧚♀️miih :
et hii vdeo imenitoa machoz mwenzenu
2026-06-11 15:32:16
2
mrs beauty 💞💘💃 :
niunganishe na mm kipenzi natani kwenda warabuni kufanya kazi kipenzi
2026-06-03 15:40:53
3
Fetty Kingazi :
Mbona cijamuona mama dear na hata hujamtaja hata kidogo
2026-06-18 07:00:29
1
Emmy ❤️ ♥️ 🇨🇦 :
MashallaAh 🥰🥰🥰
2026-05-23 21:24:12
1
To see more videos from user @official_sakinah, please go to the Tikwm
homepage.