@donluva01: ila Mzee Chande ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ #trendiing #viral #fyp #tanzaniatiktok #tiktokkenya

Don Luva
Don Luva
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 May 2026 13:26:53 GMT
1242758
73310
2102
3173

Music

Download

Comments

farida.john91
princess :
ii nyimbo kama inapepo adi usiku wa manane nikishtuka naimba kimoyo moyo
2026-05-04 05:48:12
1756
hemedbanda
maprosoo :
aaah mzee chande
2026-05-08 20:59:50
2
selemaninyannge42
๐ฌ๐ž๐ฅ๐ž๐ฆ๐š๐ง๐ข ๐ง๐ฒ๐š๐ง๐ ๐ž2 :
hii nyimbo nzuri kama baba ako aitwi Mzee chande
2026-05-04 06:37:07
787
divano225
#divano :
napenda hii nyimbo jmn naogopa tu kufanyia challenge ๐Ÿ˜‚
2026-05-04 04:51:24
1259
saidmoahmad
@SMART KIDDยฅ๐Ÿค”๐Ÿค” :
walio isikiliza hii nyimbo zaid ya mara moja like hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-05-04 09:54:27
858
evaristmagesa
samson evarist :
Mungu tunaomba mwisho mwema ๐Ÿ™
2026-05-04 05:07:55
277
jamilamuhamad532
Jamila Muhamad :
Niliweka status boss wangu akacoment mashalah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-05-04 14:00:11
397
rajabu.shaban96
Rajux :
: 1.Najua umeangalia 2.Umecheka๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ 3.Umekuja kwenye comment 4.Umeona comment yangu 5.Aya like sasa..๐Ÿฅฐ
2026-06-13 17:26:34
6
mrdavidkibwana
mrdavidkibwana :
chande yupi
2026-05-11 09:17:42
0
aminarythabit
Aminary :
Nalipa 10/10
2026-05-04 06:23:20
19
peachymoves4
peachyMoves๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜˜ :
hii nyimbo sjui inauchawi asee Yan unajikuta tu unaimba kimoyomoyo ata kama hutaki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
2026-05-04 12:08:01
80
userwitifabi
Witi fabi :
Majiranii muwe mnapunguza sautii jamanii mwanangu ananiambia mama umeskia iyo nyimbo ni lugha ganii mama ๐Ÿฅบ Nashindwa kujibu mm ๐Ÿ˜…
2026-05-04 07:32:01
116
missyellah2
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆMADAM"CHICHI"LIKONI๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชโค๐Ÿ’ฏ :
hii nyimbo nitamu kuliko mapenzy๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
2026-05-04 21:45:43
25
hellengeorge217
Hellen George :
Jamani mbona huwa spat hata like 1 tu vipenzi๐Ÿ™ au mm ndo mzee chandeed
2026-05-10 21:03:40
49
fraitonmkota
princess fraiton :
20/20 nalipa kwa uaminifu
2026-05-04 17:32:21
12
fridaachidyaloo
FIFI CHIOMA ๐Ÿฆš :
jmn tulioskia hiii nyimbo kwa mara ya kwanza tujuanee
2026-05-04 20:14:18
35
nyembo456
nyembo45 :
30/30nalipa
2026-05-07 17:06:20
5
majdk44
Lucas A daniery Official :
walio kubali hili song gonga like
2026-05-26 17:48:40
11
barakaodds7
The power of love :
wasoma comment tukutane
2026-05-23 00:16:45
5
mahope9757
๐Ÿฆ‹๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚walio sikiliza zaidi ya mara moja kama mie na kusoma coment tujuane๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-05-14 06:53:31
10
edwardpondo
Edward :
nyimbo Bora sana Kwa wananchi wetu
2026-05-04 16:22:45
34
annhdbynyjyyrfrykyn
anna42โœ๏ธ :
kuma wew unampend mungu ebu like hapa โœ๏ธ
2026-05-03 21:44:10
93
mweusi.ismail
Mweusi Ismail :
oya kaka๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nime penda sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-05-05 08:44:44
6
giftfilmsproduction
peter_-_pixel R.B.I :
duuh hio ngoma Iko na vibe kudadeki๐Ÿคฃ
2026-05-05 09:41:28
8
humblegirl0257
๐Ÿ…—๐Ÿ…ค๐Ÿ…œ๐Ÿ…‘๐Ÿ…›๐Ÿ…” ๐Ÿ…–๐Ÿ…˜๐Ÿ…ก๐Ÿ…›๐Ÿ’ซ :
sijui kwann nimeanza kupenda hii ngoma๐Ÿฅฒna chande mwenyew simjui maskin ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-05-04 00:39:18
99
To see more videos from user @donluva01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About