@sheikhsharifmakarama: sio kweli kwamba jambo la kwanza ataulizwa mja siku ya Qiyama ni Swala huo ni uwongo#kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #southafricatiktok🇿🇦 #Tiktokafrica #usa🇺🇸

sheikhsharifmakarama
sheikhsharifmakarama
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 May 2026 15:02:39 GMT
9637
117
21
26

Music

Download

Comments

badisco22
badisco :
sheikh mnafiq asalam aleikum
2026-05-04 10:12:45
3
user3336987942751
user3336987942751 :
kweli sheikh wangu
2026-05-19 04:59:18
1
tashome69
tashome :
Hata kusoma aya inaku shinda
2026-05-05 04:59:50
1
zena.mzuri.kwao.z
Zena Mzuri Kwao Zennah :
nyie haya
2026-05-04 06:48:38
0
jean_claude22477
Jean-claude Havyarimana :
Asante sana sheikh kwa tuelimisha Allah akulipe kwa juhudi hiyo
2026-05-04 12:40:03
0
joan.abdallah
Joan Abdallah :
apo kwenye matendo mema nakubali asilimia apo nimekuelewa sana ♥️🥰
2026-05-08 04:58:46
0
ambrose0444
Ambrose🇺🇲🇨🇦🇬🇧 :
Thank you 🥰🥰🥰
2026-05-03 23:30:42
0
mohamedmzingeli
Mohamed Mzingeli :
Shukran sheikh ninafuatilia kutoka Msa.
2026-05-16 09:55:24
1
user1127398
user112 :
Ahsanta sheikh
2026-05-03 16:41:23
0
raidfuad835
raid :
hili juha lapoteza watu
2026-05-04 14:52:06
3
hashimbajebar
Hashim :
Kama swala nimiongoni mwa matendo mema!! bc ktk hayo matendo mema yote lakwanza kuulizwa ndo hiyo swala sasa
2026-05-05 10:01:12
0
12345johari1
jemsi loy :
tukualika kuhubiri lanisani
2026-05-03 17:10:15
1
abusagar.abusagar
Abusagar Abusagar :
لم لكن من المصلين. لم نكن maana yake hatukuwa.vipi iwe wanaokata? umeiruka لم نكن
2026-05-04 19:29:01
0
user9885461373153
Dawsha :
astaghfirullah
2026-05-13 19:44:40
0
fahimamohammed09
fahimamohammed922 :
Ila ladhina Amanuu Waamiluswalihatu. Unatakiwa Uamini na Kufanya mambo mema. Sadakta Shekhe.
2026-05-04 11:02:03
0
nafla5553
Nafla :
kusoma haujui
2026-05-15 20:15:02
0
fahimamohammed09
fahimamohammed922 :
Nabii Muhammad ameenda Hija mara Moja.
2026-05-04 10:58:47
0
user8621031463839
mtawaswifu :
ni suratu muddathir Aya 42
2026-05-03 17:26:17
0
issamfinanga171
mfinanga :
Nimekuelewa sheikh, unatufungua faham zetu.
2026-05-26 09:03:41
0
To see more videos from user @sheikhsharifmakarama, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About