bora nimkute ashajipata jamani jamani mm nilimkuta mme wangu anaishi kwao hakuwa na kazi wala bazi nimevumilia nikasaport leo hii ana nyumba na maisha ni mazur ila mm ananiona kama taka taka hadi natamani afilisike hadi abaki kama nilivyomkuta🥺🥺
2026-05-05 10:58:39
41
Furaha Makallo :
nilianza maisha nayeye alipokuja kupata mie sio mtu mshambaa mie manake sifugi mikucha sivai miwigi sijichubui navaa majuba heee akatumia pesa na malaya kaishiwa na malaya woote wamemkimbia hahhaha ALHAMDULILLAH nina nyota kumbe nikiwepo pesq ipo nikiondoka pesq hakunaaa
2026-05-04 18:50:56
24
Skilled_Man🗿💺 :
Wanawake tafadhali, tafuta mtu ashajipanga💯
Usikubali mtu hajielewi...niskizeni jamani🤌🏼🤌🏼
2026-06-18 03:24:01
5
MAYTAG COLLECTION :
haya jichanganye 😁😁
2026-05-05 17:00:49
8
Reshmaa cakes :
saw babe nimeelew
2026-05-25 04:57:12
1
🦋mimah🥰 :
Angalau hii inanifariji😔
2026-05-05 14:13:29
3
Salim Swaleh :
ujumbe wako hauna ukwel kikubwa ni kumuomba mungu akupe mtu wa kukujali na kukupenda na hofu ya mungu aya mengne ni maneno to mutaanza maisha baadae munasumbuana munagawana mali ni Yale Yale to mm nataka mahanadi una maisha yke
2026-05-27 06:39:46
11
SAIDIREITZ🏁 :
assallam alaikum enyi ndugu zangu
2026-05-05 04:59:47
2
Raya hatun :
mm nmuomba mungu anipe ambae bado hajajipata na mweny kher na ..mm
2026-06-30 08:01:10
3
Abdulkadir Mkubwa :
I’m really appreciated ……Insha Allah
2026-05-05 07:59:45
1
Sazuu59 :
Kweli kbs😳
2026-05-05 09:11:09
2
✨ :
kwnn tn
2026-05-04 18:06:48
1
Madam Bugota :
Ndoa haina kanuni ..Muombe Mungu akupe mwenza sahihi .mnaweza Mkaanza wote 0 Mungu akifungulia baraka kidogo tu. Ndio hapo utajua Niko na mtu sahihi au ako jambazi
2026-05-19 14:36:36
3
ukhtywaah66 :
Nikweli kabisaaa yaaan,,
2026-05-07 08:12:04
2
silent :
Nani anatk tuanze wote 😎
2026-05-22 17:08:06
1
Saadati :
maashaallaah sheikh wangu
2026-05-18 19:13:23
1
Mshirazy Harith :
kwel kabsa 🙏
2026-05-06 13:11:49
1
P...W..A..K..E..D❤❤❤❤❤❤ :
nikweli
2026-05-17 14:45:19
1
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
Hakika
2026-05-04 18:40:05
1
wema mrema :
mmh🥹🥹🥹💔
2026-05-04 20:52:29
1
amina mdathiru 💕🕌 :
ni kweli lakini unashidwa kutuelewa
2026-06-18 06:01:05
0
mrs mamba :
upo sahihi
2026-06-29 16:49:31
0
Official Queen Aisha♥️♥️ :
mmmmmmh
2026-07-17 06:59:41
0
Nirhat :
kweli
2026-06-22 13:01:24
0
user7534747275419 :
hakika
2026-05-07 12:59:48
0
To see more videos from user @saidireitz97, please go to the Tikwm
homepage.