@fireextinguishertanzani: ⚠️ Epuka kulala na simu ikiwa kwenye chaji kitandani ⚠️ Simu inapokuwa kwenye chaji inaweza kupata joto kupita kiasi 🔥 na kusababisha moto au mlipuko, hasa ikiwa imewekwa juu ya godoro au karibu na vitu vinavyoshika moto kirahisi. ❌ Usilaze simu juu ya godoro ukiichaji ❌ Epuka kuiacha kwenye chaji usiku kucha ❌ Usitumie chaji zisizo salama ✅ Tumia chaja original ✅ Weka simu sehemu yenye hewa ya kutosha ✅ Ondoa kwenye chaji ikishajaa 🔥 Usalama wako ni muhimu kuliko mazoea! Linda maisha yako na mali zako kwa kufuata tahadhari hizi rahisi. 📞 Kwa vifaa vya kuzima moto na ushauri wa usalama: Fire Extinguisher Tanzania ☎️ 0626440018 / 0758462855 #UsalamaKwanza #ElimuYaMoto #FireSafety #searchinsightcreators #Tahadhari