@kawanga18m: PRANK:WAMAMA WA TANDALE😭😭#kawanga18m #intaview

Kawanga18M
Kawanga18M
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 May 2026 17:55:59 GMT
1040522
60577
994
1204

Music

Download

Comments

zuwena1914
Zuwena$ :
Wamama wengi wano roho mbaya sana
2026-05-24 09:01:38
1137
nasir.seluh
Nasri Said Seluh :
Najua Kuna Dem amejilaza kitandani peke yake kazi ni kuscroll tu😂Hi Kamama 🥹🫂 can we be friends 🥰
2026-05-30 22:30:16
562
bin.kasir
Bin Kasir :
mi najiuliza hawaoni camera
2026-06-02 08:07:01
492
leilangowo3
lilianngowo679 :
waslamu Wana roho nxuri sna
2026-06-04 17:46:19
133
preciousprecious452
Chakudeka@ :
haa huyo mam kamchapa sana jamn huo ufagio unauma sana ujue
2026-05-16 10:52:12
400
gift.term3
Gift term :
Kaka naomba hizi content uwache utakuja upigwe uumizwe 🥺
2026-06-02 06:41:55
209
official_rokii
official_rokii :
kazn chiz nyumban baba,Mungu awalinde na kuwabariki wanaume wote wanao pambana kwaajili ya familia zao😢
2026-06-01 07:47:13
217
buddha0998
Buddha :
mama aamini kama mshkaji sio chizi😅
2026-06-02 20:50:44
118
chicco_man2
"C"H"I"C"C"O"🌹 :
dah tulio na moyo wa upendo gonga like hapa
2026-05-16 11:44:11
129
its.rayah6
♡𝓘𝓽’𝓼 𝓡𝓪𝔂𝓪𝓱♡🔐✨🦋 :
Saiv tunaangalia matangazo bila ya kupenda😅
2026-06-18 08:15:05
20
teebeauty07
Tee cute 🫀🌹 :
inauma San 😭😭 mungu akubaliki sana kaka
2026-06-02 14:59:45
25
user6732041723328
young MO baby :
gonga like kama unampenda bibi
2026-06-02 03:09:40
24
madamray01
madamray01 :
10/10 nalpa
2026-06-02 12:57:24
7
ricky_camus
John_r.e.e :
Mwanangu mm sina uwezo wa kukupa hela lakin like, na comment chukua kaka
2026-06-12 17:41:48
16
itz_rommy18
ROMMY NATION🤕💔 :
Najua Kuna Dem amejilaza kitandani peke yake kazi ni kuscroll tu😂Hi Kamama 🥹🫂 can we be friends 🥰
2026-06-27 03:18:40
11
veronicabonifanc7
Azizi gaudence :
ubarikiwe
2026-06-02 15:21:25
11
sweetpie744
🧸mnyakyusa wa tukuyu🤭🦋 :
duuh unapitia mengi hivi na nikunyime like sio kweliii 😂🥺
2026-06-29 09:43:45
9
yuzo.ym
Yuzo YM :
Nimeipenda prank yako inafundisha sana
2026-07-02 07:39:37
5
.name9992
Queen♏️ :
Hizo Ndo zangu kusaidia vichaa ipo siku ntakutana na wawe 🥰🥰
2026-06-03 13:41:32
47
janifersadokikage
Janifer :
hongera yake uyo mama kwa moyo mwema👊🥰🥰
2026-05-26 14:13:33
42
joycerisper
joy beauty salon 🦋🦋 :
kwel kutoa ni moyoo🥰
2026-06-02 18:25:46
33
_niffer13
Ffer❤️ :
wanawake tuna roho mbaya sana
2026-06-02 12:18:35
17
ruuhmomie5
Bint zahiri❤️🌸 :
5;5
2026-06-01 00:33:43
5
chuseboy.officialtz
CHUSEBOY OFFICIAL :
10/10
2026-05-03 18:01:08
8
mikimilionea
miki milionea :
Mungu ampe umri mrefu zaidi
2026-05-22 19:49:57
24
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About