@automatewithai_tz: 5 STAGES ZA AI, Watu wengi wame-stuck Stage 1 ya AI... wewe uko wapi? Kujua kutumia ChatGPT pekee haitoshi tena. Video hii inakuonesha kwanini ukijua kufika Stage 3 (Multi-Agent Systems), tayari uko ahead ya 99% ya watu duniani. Hizi ndizo hatua tano za mageuzi ya AI: Stage 1 (LLM): Kutafuta majibu kama unavyofanya kwenye ChatGPT. Stage 2 (Agentic AI): AI inaanza "kufanya" kazi badala ya kujibu tu. Stage 3 (Multi-Agent): Timu ya AI agents wakifanya kazi pamoja bila binadamu kuingilia. Stage 4 (AGI): AI inayofikiri na ku-reason kama binadamu. Stage 5 (Super Intelligence): Akili inayozidi binadamu wote walioishi duniani. Ulimwengu unabadilika haraka. Usikubali kuachwa Stage 1 #AutomateWithAI #AIRevolution #SiriZaAI #TanzaniaTech #FutureOfWork #AIAgents
vyote hivi nafanya kwenye platform ileile moja ninayo tumia? i mean app
2026-05-12 13:22:15
1
tcha_the_great :
stage two ni AI Agent and stage 3 ndio Agentic AI ,, never mix them
2026-06-27 13:07:15
0
Johnny Depp :
naomba namb yako tafadhali
2026-05-04 12:39:18
1
Ahm3d😊 :
madam, ukipata mda tengeza vid ya Augment intelligence ni 🔥🔥🔥
2026-05-15 16:54:47
1
edgarnkiza :
Madam Habari za majukumu. pls I want to contact you. I admire your work for real. Tell me how
2026-05-04 05:15:20
2
nizzo.graphx :
nipo stage2🙄
2026-05-04 19:46:58
1
blackmadson :
ur an expert 🔥🔥
2026-05-04 06:48:43
2
Pastor Online= Haki + Ukweli :
stage no 5 bado hypothetical future AI haijafikiwa
2026-05-27 18:18:54
0
classy watchez tz :
Thank you
2026-05-04 15:07:36
1
upendo_lab :
Namba 4....Nipo
2026-05-04 09:21:38
2
peki :
mim sio AI
2026-05-05 20:27:33
1
kibegi_digital :
share madam
2026-05-18 17:31:03
0
hamsun_180 :
dada wa taifa la AI, namna ya kutumia hizi za mult agentic ai. na hii model unakua na agent mmoja as master agent au kila agent unatumia kivyake vyake?
2026-05-27 06:39:11
0
lupapape :
we cjui umejifunzia wap mbona Unaelezea tofauti
2026-05-26 12:00:53
0
Leebronkasian Hl,' theo' :
madam namba plz ,nipo stage ya kwanza tu nataka niende 2
2026-05-31 10:49:57
1
rouny music :
unaongea vizuri sana natamani kupata ujuzi huu
2026-05-23 18:42:04
0
africatstoursands :
Habari za leo! Tunaweza kupata wasaa wa kujadili jambo
2026-05-09 14:48:21
0
blackheart03 :
naomba no yako tafadhali
2026-05-14 07:30:35
0
miracle diet :
nipe mawasiliano
2026-05-15 09:15:51
1
Maswe Kibasa :
una "upgrade" vipi hizo stages?
2026-05-23 12:19:26
0
David :
stage 4
2026-05-16 18:12:06
0
ⒸⓇⒺⒺⒹ :
hua unatumia AI gani?
2026-05-15 11:02:17
0
salum shomari :
Naomba namba yako
2026-05-11 06:22:55
0
To see more videos from user @automatewithai_tz, please go to the Tikwm
homepage.