@offcial_smile: Majaribu

👑 Sũltâñ🫧💦
👑 Sũltâñ🫧💦
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 03 May 2026 20:08:06 GMT
361615
13366
1271
864

Music

Download

Comments

tymah229
🖤 :
kama mm namdaka namchinja me mwema??
2026-05-04 21:09:30
740
sunah081
zuliie cute :
mwenyezi mungu akutete na kukulinda na usisahau kuomba 🥺🥺
2026-05-05 12:36:55
345
abratysop
ABRATYSOAP :
swali sana humaliizi huu mwaka
2026-05-05 12:11:55
235
ramndosi
ramndosi :
hao uwa wananusa umauti wa mtu ila ss tunatafsi tofaut sana ila mshukur mungu tuh
2026-05-05 09:22:12
157
belrich.216
Belrich smart scents :
Sali sala ya baba yetu mara saba after apo mshukuru Mungu then endelea na mambo yako
2026-05-05 14:21:49
86
msleilah1
lastborn🍼👶 :
nimeshtushwa na comment but any way ngoja nikofollow please zikiisha siku 40 ukiwepo upost video na unitag so kwa ubaya🥺
2026-05-05 14:03:52
77
glanceelite_xv
🅜🅡 🅖🅡🅐🅝🅒🅔🧠✍️ :
hiyo safar ya kweny comment inaishia wap sas 😂😂, like hii kwanz ili urud salama 😅😅
2026-05-05 14:54:39
53
rachel_rockies
rachelaugustine🦋🥳 :
mpaka sasa Bwana ameshakupigania sifa na utukufu umpe Mungu🙌🙏
2026-05-05 19:57:46
58
hannah00417
Hannah 🇰🇪 🇹🇿 💪 :
Adui mwengine usimwachie mungu pambana naye huna kisu kwani
2026-05-05 15:29:29
15
user717162150206
Bhachu💋❤️ :
Huyu ndege kaja kukupa ishara kua siku c nyingi utackia msiba kwa mtu wako wa karibu😥 na sio ww mwenyewe, tunza hii comment yangu
2026-05-09 15:21:50
17
neemaelipidius
neemaelipidius :
mungu akulinde akuna kibaya kitakacho kuku kuta
2026-05-05 13:37:12
36
b_a_b_a.alayner.o
D_A_d_y Daylan O_G :
Nyama yake tamu sana mnajua
2026-05-05 12:48:19
14
user97156575860981angel
official angel :
mpaka hapo mungu Ameshinda🙏usiache ibada
2026-05-05 15:54:27
15
careensimon6
🧚reen💚🧚 :
jmn jmn kapitia wap huyu me nkupenda bad🥹🤧
2026-05-06 07:01:32
6
liz_fritiz
lizzie fritiz :
Mungu yupo pamoja na ww amna baya litakalokukuta 🙏🙏
2026-05-05 18:40:42
14
vickyoswald
Veecute🍀🌿🌳💖 :
😂 ila AI na umewaaminisha watu 🙌🏻🙌🏻we hapan yooh
2026-05-05 09:41:42
6
bozzy.queen1
💦MISS BOZZY 💦 :
nyama iyooo
2026-05-05 11:05:43
6
blackberryusername
Aiem Naah💥💥 :
Mungu akutetee kwa jaribu hl jaman
2026-05-05 11:29:35
7
cute.hjr1
💝cute hjr 🤓 :
kaingiaje
2026-05-05 11:16:04
6
novo.jr
Iddy Novo :
umeisha kijana 😅😅
2026-05-03 22:12:11
8
user3271956819382
Ukhty chimaa :
Mwenyezi mungu ndie tegemez letu hakika ana mamlake tena mbele ya mungu
2026-05-05 11:52:32
8
.lee3654
# Lee ❤️🦋 :
Mh siweziii ningehamaa na nyumba 🥹🥹
2026-05-05 09:51:08
7
chizzagirl01
chizza girl🦋 :
me ningezimia mbn
2026-05-05 07:47:36
8
janethbenjamin986
janethbenjamin986 :
hilo jaribu ushalishinda
2026-05-05 11:45:48
5
official.naa85
aiem naa official😍😍 :
Hawa huwa Wanauwezo wa kunusa harufu za umauti so sali sana mwomb mungu akuepushe na Roho ya umauti 🙏
2026-05-05 14:19:23
7
To see more videos from user @offcial_smile, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About