Ewe Mungu nakukabidhi kijana wangu na wengine wanaoanza mitihani yao kesho uwatie baraka wafanye vizuri mitihani yao wawe vichwa wawe mkia katika masomo yote Amina.
2026-05-03 22:18:39
14
@Jackiee# :
Wakawe na Mwanzo, hatimae mwisho mwema, in Jesus name .
2026-05-04 04:15:03
5
xoreen🦋✨ :
na selections lini jmn
2026-05-04 18:14:38
0
Jay Jackson :
ikawe kheri wa watahiniwa wote 🥰
2026-05-04 05:08:44
5
rizen_xisco47 :
Ila badilisheni taratibu hawa wakidato 4 wanakaa sana mtaani mpaka wakipangiwa 5 na vyuo washapotea sana
2026-05-04 08:19:46
3
esuphat laizer :
Mungu awatangulie 2023 from oltinga
2026-05-04 05:13:28
1
momo kishepu😍 :
Ee Mungu naomba ukawabariki na ukawambushe waliyosoma 🙏🙏
2026-05-04 17:43:58
0
Fetty😍 :
Mwenyenz mungu awape utulivu wafanye vyema mitihani yao amina🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-04 17:57:26
0
SHOP WITH QUEEN FASHION :
Mwenyenzi Mungu awape utulivu wafanye vyema mitihani yao Amiin 🙏🙏🙏🙏
2026-05-04 04:37:38
2
saumusalim47 :
Mungu akawatangulie kwenye Mtihani wao wakawe vichwa na sio mikia
2026-05-04 06:07:26
1
user3427476255831 :
ushindi ni wao mungu wape utulivu
2026-05-04 07:20:33
1
Rahma Jolie :
Allah awaongoze
2026-05-04 07:28:47
1
Faraj Ally selemani :
wabe afya njema
2026-05-04 18:58:50
0
user385555766387 :
mwenyezimungu awasaidie
2026-05-04 04:21:07
1
Mpilla Gn :
God bless them🙏
2026-05-03 23:03:54
2
modesterjosephmsa :
mwenyez mungu uwakumbushe yote waliyofundishwa na walimu wao Amina
2026-05-04 04:39:34
1
Dundery Breener🔐💝🍧 :
Mungu waongoze🙏🙏
2026-05-04 05:43:26
1
xoreen🦋✨ :
Ameen
2026-05-04 18:14:29
0
ashura Kanyara :
mungu nimekukabidhi kijana wangu kwako pamoja na wengineo uwasimamie vyema ktk mitihani hiyo wakapate kufahulu vyema amina
2026-05-05 14:20:26
0
alPRAGIA :
allh awafanyie wepesi
2026-05-06 08:02:35
0
mummy :
mungu uwaongoze
2026-05-04 15:39:01
0
mackenz :
yani ww hua nakuogopaga sijui kwann
2026-05-04 15:33:36
0
Efatha :
MUNGU awatangiria watoto wetu
2026-05-04 13:58:16
0
gosian jr 2026 :
mtihan mwema
2026-05-04 13:07:32
0
usermom :
Allahuma amiin, kwa watt wetu wote, Allah awasimamie, awakumbushe pale tu waliposahau. Allah awafanyie wepesi ktk mitihan yao hii Ya Rabbi. Allahuma amiin.
2026-05-04 08:00:23
0
To see more videos from user @ajiraonlinetz, please go to the Tikwm
homepage.