Alhamdillah vipindi vyote kwangu naona sawa mda wa swala ukifika natimiza wajib♥️
2026-05-04 13:41:40
18
Fatma Haule :
Mimi naswali zote kasolo Alfajiri sijui mungu anapokea swala zangu 4 hata sielewi yani ile hata nikipania leo sikubali lazima niswali wapi saa mbili na robo ndo naamka dah mpaka nishazoea sasa ila nitajitahidi
2026-05-04 22:08:06
13
Naah🤍 :
mimi al asiri bas ndo siswali kwa wakati mara nyingi mungu anifanyie wepesi kwenye hili🤲
2026-05-04 03:23:19
22
Asma Yohana :
hamna kipindi kigumu kwenye swala kwanza kuswali raha sana nashukuru kuwa mwislamu alihamdullah
2026-05-05 16:33:55
11
🪷Hakuna jipya 🪷 :
mi vyangu alhamdulilahi
2026-05-04 02:39:12
7
Ally akash :
swala ya ishaa na alfajir
2026-05-04 03:26:00
20
@iya :
isha na alfajiri ila mungu atufanyie wepesi aamiin
2026-05-04 09:58:11
6
Faissa_Comforts :
Fajr na Ishaa
2026-05-04 19:50:49
6
😍 Pemba girl 👧 :
Fajri na isha🥺🥺🥺
2026-05-04 06:23:03
7
boss nanh232♥️♥️♥️❤️s :
🥰🥰🥰 allhmdullah sina kipindii kigumuuu hata kimoja Kwanza nichelewii SAA 1 Bac naona sipoo swa kila ninachofanya nakosea mpk niswali ikishaa nakuwa swa allhmdullah Allah
2026-05-04 06:55:04
8
poppyramesh :
Fajr and Isha Allah atufanyie wepes inshallah katika swala zetu😌
2026-05-04 05:55:18
11
🥀fatnass🎀 :
maghrib jamani maghrib😪
Allah anifanyie wepesi me na wenzangu wote🤲
2026-05-04 04:09:51
7
TIGER KING :
mm alfajiri na isha sizikosi ata siku moja .swala ya isha kam sjaswali nina hof na alafajiri muda w rizki kutolewa lazm uamke mapem
2026-05-04 07:46:04
5
user8596269905528 :
fajri na ishaa
2026-05-06 12:36:42
0
LADY FR🌹 :
subuh na inshaaa
2026-05-04 15:47:23
0
Rahma Salim :
Fajri na insha mungu atupe wepesi kwa sote
2026-05-06 06:18:19
2
Zaituni209 :
Amen
2026-05-04 06:46:38
1
Black Melanin 🤍🤎 :
Swala ya alfajir na swala ya inshaa 🥹Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wenye kusimamisha swala tano 🤲🏼🙏🏼
2026-06-05 05:40:05
1
♥️_king_nourish_❤️ :
hakuna hata kimoja❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-05-05 18:19:15
1
saudia :
fajri ndo ngumu ila alhamdulilah nyingine hazinipiti🙏🙏
2026-05-04 15:29:58
2
To see more videos from user @khamismahmoud311, please go to the Tikwm
homepage.