@heaven.on.earth418: @Mwl Onesmo Prosperity @stellaagustino8

A Son of Heaven on Earth
A Son of Heaven on Earth
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 04 May 2026 06:43:53 GMT
134577
12785
520
433

Music

Download

Comments

khan47tz
KHAN47 :
ulizani utasoma comment zote bila kuiona hii 😂..kama unampenda mungu like hapa
2026-05-05 04:25:29
210
mediequip_solutions
Malaika 558 :
Najiungamanisha na Baraka hizi kwa Jina la Yesu💖💯🥰
2026-05-04 13:10:43
200
samibaby5
Samybaby :
😭😭😭 Hakuna aliyewahi kumtegemea Mungu akapata hasara barikiwa D Stella
2026-05-04 13:39:20
75
abbyjohnson473
Abby201 :
hii ndo inaitwa ukimheshimu Mungu na Mungu atakuheshimisha
2026-05-05 05:37:41
72
user27581296988861
am irynlove 🤍 :
boss wangu si aone hiiii
2026-05-04 14:04:02
21
elrachummotors
DAVID EL RACHUM :
samahani hii redio inaitwaje?
2026-05-05 06:34:43
10
bintikigoma1
chimomy ❤️🇹🇿 :
wakina stellah wote tunampenda mngu na niwazuri sana najivunia kuitwa stellah
2026-05-11 00:12:46
11
elizadaniel549
elizadaniel549 :
kumtumikia Mungu kuna faidaaaaa,👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
2026-05-04 17:19:48
7
ismaty2
Ismaty♥️💯💯 :
🙏🙏🙏MUNGU ni mkubwa siku zote 🙏
2026-05-05 04:34:43
6
neemagasper8
Neema G❤️ :
Nimemsaidia kutoa machozi ya shukrani kwa Mungu
2026-05-04 15:19:49
17
user8323260118402carolin
caroline :
ni mpambanaji kama mama yake jmn ongera San mdogo wang🥰🥰
2026-05-04 16:06:49
17
user6087907422108
user6087907422108 :
Najiunganisha na baraka za Stela lark jina la Yesu 🙏
2026-05-05 10:46:57
8
ms.ruth48
Ms Ruth :
Acha apewe jaman tangu kikatiti alikuwa na nidhamu sana
2026-05-04 17:38:04
18
mwasama.sr
Valentine official :
Kazi ya Mungu inalipaa
2026-05-04 13:32:15
8
doreen.mtae
Doreen Shopping Hub💜 :
Jaman wangapi mmelia kama mm🥹🥹
2026-05-05 07:12:49
5
teddy.daghau
Teddy Daghau :
kwa ukweli nimetokwa na machozi ya furaha,ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
2026-05-04 12:14:57
14
i.con.g
I con Gee💫🦋💕 :
Hakikaa kwako ni mwaka wa utele wakiungu 🥹🙏🫂
2026-05-05 04:03:24
5
user869275317534kibali
KIBALI HALISI😘🫶🦋🦋 :
Uwii Jmn kwel unacho kipanda ndicho unachovuna kapanda kwa Mungu kavuna Mara dufu kwel kupata matokeo mazuri inategemeana na unapanda wapi🥰🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-05 20:43:42
6
godgotme2003
godgotme2003 :
Eeh Mungu Kwanzia leo namm silalamiki
2026-05-04 16:17:47
7
jeremiaisowe
jermiaisowe :
kuna watu wapo automatic kwenye kufanya kazi yaani hiyo passion ipo ndani yamtu namna Mungu alivyoiweka
2026-05-04 17:00:27
11
adeg46233
adeg4623 :
Mungu akubariku Mwl Onesmo... I'm so happy for you Stella🤍🤍🤍 Be blessed as Mwl says
2026-05-04 15:14:54
11
narry598
☑️ :
Why hakaaa
2026-05-04 13:48:19
12
editha.patric
edie patrice :
@stellaagustino8 congratulations my love ccy
2026-05-05 12:57:19
8
user4365070713374
Agyylema🌹🌹🙏🙏 :
Nimepata machozi ya furaha 😭 🤣🤣🤣😘😘😘😘🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-05-04 12:37:50
7
mbzyo.ballo2
Mbzyo Ballo :
Mungu wa mbinguni akubariki sana mwalimu
2026-05-04 07:25:19
9
To see more videos from user @heaven.on.earth418, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About