@mumspickles254: AACHARI YA NDIMU 🍋🌶️ Chachu yake safi, ladha yake kali kidogo na harufu yake tamu… hii ndio ile aachari ya kukufanya ule zaidi! 😋🔥 ✔️ Inafaa kwa wali, biryani, chapati na chips ✔️ Imetengenezwa kwa ndimu fresh na viungo halisi ✔️ Ladha ya kipekee ya nyumbani – Mum’s Pickles 😍 💰 Bei: • 250g – Ksh 200 • 400g – Ksh 300 📍 Mombasa – Shanzu 🚚 Delivery FREE hadi Mombasa town 📞 Order sasa: 0729 849 373 Ongeza ladha kwenye chakula chako leo! 🍋🔥 #MumsPickles #AachariYaNdimu