@ndele.halal.finance: Kwanini uliacha Online Forex Trading ? Kijiwe Halal na @Mfaumeally255 @Nassor Morsady @Twaha Hussein @lukman humoud @Issa Baruti Disclaimer: Taarifa hii ni kwa madhumuni ya elimu tu, si ushauri wa kifedha au uwekezaji. Tafadhali fanya utafiti wako au wasiliana na mtaalamu kabla ya kufanya maamuzi ya kifedha.”
hamjasoma courses za accounting ungejua forex ni nini
2026-05-04 15:58:56
27
erntrades.tz :
Duuh, Financial education bado inahitajika san TZ
2026-05-23 04:25:21
6
Maavun :
Ona hawa nao
2026-06-05 10:06:12
1
TUNTU_MOBILES TZ :
Kama unafanya kazi bank na bank inafanya forx na inapata faida kupitia forex na unalipwa mshahara kutokana na faida inayotokea huko je ni halal au haramu.
2026-05-24 07:35:39
7
user1680038166943 :
its not haram but depend the way you trade is just like a phone is halal to use but the way you use it in wrong way it will be haram, my brother forex is just move to online so brother let impact the truth not the pain of that person so find eilm will open the light upon you may ALLAH bless
2026-05-06 16:49:43
4
Designer :
Forex ya HALALI
2026-05-04 10:44:18
11
Njali_Beez :
😁😁😁WATU WANGU WANAPOTEA KWA KUKOSA MAARIFA 😁😁😁
2026-05-06 07:52:42
6
shackshd :
Haina tofaut na betting
2026-05-09 14:28:03
2
sadamudeh :
uliacha baada ya kuwa profitable
2026-05-05 16:20:25
4
Bakarially30 :
Allah akujalie
2026-05-08 12:28:25
2
CPA.Fazil :
Assalam Alykum
2026-05-04 15:09:24
4
Fahad :
The way unaongea tu inaonesha hujui forex ni nini
2026-05-22 13:56:10
6
🙏🙏 :
mna hitaji buffen
2026-05-23 10:34:13
3
mikel kea :
mshafeli kwenye forex mnatafuta sababu kuna billionaire analiyepata utajiri kwa njia halali utajiri sio jambo la kawaida
2026-05-28 07:19:21
2
Joseph Kamba Jack :
Elimu ni pana sana.trading ni km maisha tu huwezi kuwa umefanikiwa kabisa …never
2026-05-05 15:23:19
0
THE MAX SMJ🔥 :
acha drama
2026-05-06 14:10:13
1
khan🥰 :
sawa sheee
2026-05-06 22:00:24
1
#{Dullah.01} :
mimi pia niliacha kwa sababu ya shaka mtume (S.A.W) amesema " fanya jambo lisilokutia shaka, wacha lile linalokutia shaka" forex ina pesa za mashaka sana.