@abdulazizielajemi: Rizki sio pesa tu Bali hata afya, tabia njema uzuri ni rizki pia,Tunamumba Allah Yale tunayohitajia lakini hutupa Yale tunayostahili zaidi. 🎙️ Mzungumzaji: sheikh Othman maalim ✨Follow ili kujifunza uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost#mawaidha#islamicvideo ✨FOLLOW ✨ @guide_qalam