@dr_imma_01: Mambo 7 yatakayomsaidia mtoto mchanga kukua vizuri kiakili na kuanza kuongea mapema..!! 1.Ongea naye kila siku.. hata kama hajui kujibu bado 2.Mwangalie machoni ukiongea: hujenga connection ya ubongo 3.Imba nyimbo za watoto; zinachochea kumbukumbu na lugha 4.Mshike na kumbembeleza; hugusa hisia na maendeleo ya ubongo 5.Muoneshe vitu na kumtajia majina ..mfano; “hii ni kikombe, hii ni mama” 6.Cheza naye michezo rahisi 7.Punguza simu na TV karibu naye.. mawasiliano ya ana kwa ana ni muhimu zaidi #AfyaYaMtoto #MaleziBora #MtotoMchanga #Uzazi #MamaNaMtoto

dr_imma_01
dr_imma_01
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 04 May 2026 09:41:58 GMT
132206
2486
41
461

Music

Download

Comments

mrs.vicent
Mrs vicent :
anamiezi miwili napiganaye stor kama huyo anavoongea mungu waajabu
2026-05-04 20:51:09
6
debpure740
Lasty🦋🌹[Galfure] :
Exactly to my two months son anaongea ivo ivo 🥰🥰
2026-06-26 22:22:07
0
ruth.kwamby1
Mama Nivaan :
wangu ako na week tatu lakini anajaribu kuongea akisikia nikimwongelesha
2026-06-03 13:01:54
1
ester.john06
esterjohn624 :
ni sahihi kbs kaka nakubaliana ww🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 19:03:22
1
mwajuussy2
Mwajuussy :
naongea nae kila wakati wangu ana miezi 3
2026-05-04 18:35:53
2
farhatialimohamed2
Farhati ali Mohamed :
naongea na babuu wangu kila siku ya mungu
2026-05-04 15:17:14
3
siwemaally11
wally ally :
wangu alikua anaongeea huyo balaa
2026-06-26 19:55:50
0
mariamngozo
mariam ngozi.com :
mi wangu ana miezi mi wili anaongea hivyo amewahi san au kawaida
2026-05-04 20:13:34
2
mama.g1688
Mama G :
hii ni kweli kabisa nimejionea kwa mwanangu wa pili,pia wa sasa ana mwezi tu ila napiga naye story kama anaongea
2026-05-17 16:38:33
1
beibz38
Moh 💙Alvin :
Thank you 🙏🏽
2026-06-17 20:38:30
1
dorry.cutee
Dorry Cutee🥰 :
Asante
2026-05-04 13:24:21
2
user36112514721114
My Son :
Hata Wakwang Ameanza Kuongea Anamiez Miwili Mpk Sasa Anaongea Huyo Hatal
2026-06-01 13:48:35
0
princess.cinderel89
princess Cinderella :
mi anamwezi mmoja anaimbaa🥰🥰🥰
2026-05-10 08:50:32
1
user3888085834120
user3888085834120 :
anamiez mitat je ataongea
2026-05-08 20:35:43
0
safari76522
Safari :
aksanti sana
2026-05-11 10:06:50
1
sashalee300
Sashalee2 :
asant
2026-05-07 13:07:50
1
fahma2057
Fahma205 :
shukran
2026-05-05 09:57:29
0
momaboub
Mom Mehmet :
Huyo mama ni mimi hapa
2026-05-05 17:05:01
0
user79539908085952
ashaissa :
Najifunza
2026-07-01 10:12:07
1
123ayv2
My name😘 :
apo kwenye tv sasa wangu anamiezi miwili na wiki tatu namwashia tv anaongea nayo mim naendelea na kazi zangu
2026-05-05 12:33:21
0
zainasungura268
zai🥰 :
mtoto wangu ana miezi mitatu lakin haongei
2026-05-20 06:36:14
1
jack.eliasi
Jack Eliasi :
babuuuu wangu me anaongea asaiv na kana mwezi jamni nasoma naye kabisa ananjibuu eeh aaah eeh nambiwia umepatia toto yangu mzuri
2026-05-04 15:47:10
1
ahmedhafidh85
ahmedhafidh85 :
Ahsante @dr_imma nimejifunza.!
2026-06-18 23:47:49
2
msonjoogy493
MSONJO OGY 💪 :
😂😂😂
2026-05-16 08:12:31
0
user8536808179557
Leonard jefta :
😛😛😛😛😛😛
2026-06-02 20:27:44
0
To see more videos from user @dr_imma_01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About