@ossnu_solar_energy: OSSNU Solar Energy, tunakuletea teknolojia ya hali ya juu na huduma za kitaalamu, tunakufungia mifumo ya nguvu ya jua kwa matumizi ya nyumbani na biashara. Wasiliana nasi leo kwa ushauri na huduma bora: 📞+255 748 377 870 📧 [email protected] 🌐 www.ossnusolrenergy.co.tz #OSSNUSolarEnergy #NishatiSafi #SolarTanzania #HybridSolar #UmemeWaUhakika

ossnu_solar_energy
ossnu_solar_energy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 04 May 2026 10:08:21 GMT
33172
1748
50
45

Music

Download

Comments

jonso_electrical
JONSO ELECTRICAL :
nimekuelewa sana.. lakini 3phase meter ikikosa phase moja tuh haifanyi kazi kwa maana hata phase zilizopo output haitoi umeme.. au hiyo huitambui kaka,.. changamoto kubwa ni low voltage kwenye phase, ndo maana ni vizuri kufanya phase balance moja wapo isizidiwe.. au ipoje ?
2026-05-04 17:39:29
5
amirnassir5
Aloysius Amir :
unawafunza na njia ndefu sana. usiingize phase zote ndani. tumia phase selector kwa meter box, hata moja ikikata ama mbili, bado nyumba haitakosa moto hata mara moja. kuliko huo mfumo wako.
2026-05-04 16:59:12
5
willyjulius
Willy Julius :
hiyo story yako ni ya low voltage sio ya phes kukosa umeme kwani meter ipo outomatic phese ikikosekana moja meter haitoi umeme kaka
2026-05-05 02:11:19
1
officalkapoloma
E_19 :
kaka unapatikan wapi
2026-06-05 08:11:09
0
mudy.ngozy4
Mudy ngozy :
nimeelewa sana
2026-06-01 18:45:18
0
tawakalshamskhami
Tsh :
ok,asnt
2026-05-04 13:31:07
1
davidjuliusmndeme
D, FIGHTER💪🏻🤛🏻 :
bigg noooo,hio story unayotoa sio
2026-05-08 18:21:13
0
desmonothiambo
Desmon Othiambo arts academy :
Nzuli sana
2026-05-10 12:30:30
1
francmathayo348
yuleboy25 :
broo unajua sana
2026-05-12 10:27:29
0
tavanga
tavanga :
sasa kama shida ni source
2026-05-06 15:31:09
1
muttashubirwasixb
Muttashubirwa Sixbert :
umetisha kaka
2026-05-08 19:08:14
0
electrician_16
Baraka Thabity :
somo Zuri najifunza
2026-05-05 16:13:04
0
rahim_hamza
rahim :
Kaka kumbe mnafundisha pia namie nataka kujifunza
2026-05-04 16:27:18
2
user702190481806
user702190481806 :
noma
2026-05-05 09:22:56
0
mohamedymberesero
Mohamed :
mhhh
2026-05-05 12:05:41
0
dickson_manuva
DvJ Manuva :
unajua kaka hadi co poah
2026-05-04 15:11:33
0
galax9545
Galaxy :
mmmmh
2026-05-05 07:13:49
0
tawakalshamskhami
Tsh :
ikiwa ndani kumeweke 3 phase, je Moj ikizimwa nyingine huwa zinafany kazi?
2026-05-04 11:59:48
1
stevenmakonge948
Mr.electric :
somo limeniingia mnapatikana wapi nije nijifunze?
2026-05-04 17:17:28
0
simonsilvr
simonsilivester :
asante kk
2026-05-04 16:26:17
0
ramadhani.botea5
RAMADHANI BOTEA :
nimekuelewa
2026-06-11 04:49:18
0
brother_lissu
Brøther lissu14 :
fact 💡
2026-05-05 06:09:17
0
michael.kamba0
Michael Kamba :
hata fault inaweza ikarejister overurrent na sio over load tu
2026-05-04 17:36:50
0
kambale5307
Kambale :
Ticha sawa likn hapo iyo fedh nacho jua mm Tanesco ikikata moja tu umeme hauna nguvu hapo
2026-05-05 06:53:47
1
chrissnyange
𝐂𝐡𝐫𝐢𝐬𝐬𝟒𝐇 :
Hiki kizaga mekifunga ila kinanguruma hakisukumi maji nisaidien mawazo wakuu👆👆
2026-05-04 20:46:16
1
To see more videos from user @ossnu_solar_energy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About