Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@thao.max97: Đồ lam đi chơi lễ chùa sang trọng ♥️#dolamdichua #phapphucdichua #dolam #gaming #thinhhanh
Anna 🎀 (Shop)
Open In TikTok:
Region: VN
Monday 04 May 2026 11:34:51 GMT
679
6
0
2
Music
Download
No Watermark .mp4 (
7.51MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
7.51MB
)
Watermark .mp4 (
7.67MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @thao.max97, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amewataka wakazi wa Mji wa Mbulu kuachana na tabia za ubinafsi na kuwakaribisha wawekezaji pamoja na wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali, akisema hali ya kuwafukuza au kuwakatisha tamaa wageni wanaotaka kuwekeza inakwamisha maendeleo ya eneo hilo. Akizungumza katika kikao maalum cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu kuhusu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2024/2025, RC Sendiga amesema pamoja na halmashauri hiyo kupata hati safi, bado inakabiliwa na changamoto za kiutendaji na maendeleo zinazohitaji kufanyiwa kazi. Amesema aliwahi kuelezwa kuwa moja ya sababu zinazokwamisha ukuaji wa Mji wa Mbulu ni mtazamo wa baadhi ya wananchi kutotaka watu wa nje kuja kuwekeza katika eneo hilo, jambo ambalo linazuia ujio wa mitaji, mawazo mapya na fursa za maendeleo. "Nanukuu nilivyoambiwa, Mkuu, Mara nyingi kukua kwa mji kunataka mchanganyiko wa watu wanaokuja na aidia mbalimbali wawekezaji, miradi mbalimbali ndio mji unakua, Mji wa Mbulu wamewahi kukusanyana wakakusanya hela wakamuondoa mfanyabiashara mkubwa Muhindi alikuwa pale, wanataka wakae peke yao, sasa kukaa peke yenu mji hauwezi kupata vitu vipya, wananiambia kama una roho ngumu ndio utakaa Mbulu lakini kama una roho nyepesi hukai kwa sababu watakufukuza tu.” Aidha, amewataka wananchi kuendana na dira ya maendeleo ya taifa inayolenga kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika kuchochea ukuaji wa uchumi, akisisitiza kuwa Serikali ina jukumu la kuweka sera, sheria na miongozo, huku utekelezaji mkubwa wa maendeleo ukitegemewa kufanywa na wawekezaji pamoja na sekta binafsi. “Mji unakua kwa kupokea watu mbalimbali wenye mawazo tofauti, wawekezaji na miradi ya maendeleo. Mkifukuza wenzenu mtapata wapi maendeleo? Acheni watu waje wawekeze ili Mbulu iwe kubwa na iweze kunufaika kiuchumi,” amesema RC Sendiga.
فلا يلموننا بعدين إذا تركناهم او تغيرنا عليهم🤍🫰🏻 #فارس_عاشور #حب #العلاقات #تحفيز_الذات #نصائح_مفيدة
#ast #plus #abonne #1milliondevueen1jour #debloquemesvues
ربي يطوّل بعمرهم و يحفظهم من كل شر و يرحم من توفى منهم 🤍 #explore #ابوي
📷 PHÁ ĐƯỜNG DÂY M.A.TU.Y LIÊN TỈNH: 4 ĐỐI TƯỢNG "SA LƯỚI"! Tưởng kín kẽ, liên tục đổi địa điểm để qua mắt lực lượng chức năng, nhưng cuối cùng các đối tượng vẫn không thể thoát. Chỉ trong 2 ngày, Công an tỉnh Lào Cai liên tiếp đột kích tại Lào Cai và Lai Châu, bắt giữ 4 đối tượng liên quan đến hành vi mua bán, tổ chức sử dụng trái phép chất M.A.TU.Y. 📷 Tang vật thu giữ gồm nhiều viên hồng phiến, thuốc phiện cùng các dụng cụ phục vụ việc sử dụng trái phép chất M.A.TU.Y. 📷 Đáng chú ý, đối tượng cung cấp M.A.TU.Y tại Lai Châu cũng bị phát hiện đang tổ chức sử dụng trái phép chất M.A.TU.Y ngay tại nhà khi lực lượng chức năng khám xét khẩn cấp. 📷 Diễn biến vụ việc ra sao? Xem ngay video dưới đây! Nguồn: AN NINH LAO CAI
Los hombres si y las mujeres no?🥲 #facto #futbol #parati
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy