@nataclassic: A few moments LETER #rwandatiktok🇷🇼 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fryyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy #creatorsearchinsights #comedyvideo

Nata classic
Nata classic
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 04 May 2026 14:21:43 GMT
936058
41907
1131
3143

Music

Download

Comments

elizabethurio6
elizabethurio6 :
hii siku kama sio Mungu nilikuwa nimeanza kuchanganyikiwa😂😂
2026-05-05 03:56:04
858
user182555761180
dln :
hiii yanga inanipa raha kuliko ata mke wangu 😊
2026-05-05 06:53:14
433
mkakamuuzanguo2
MUUH-SELEH :
😂😂 kumbe tuwe tunamalizia video kuangalia nimecheka mwisho 😂😂😂
2026-05-05 06:06:32
248
bintiakida
naima :
mim timu yangu ni few moment later 😂😂
2026-05-05 08:01:33
97
fettylicious37
Fettylicious 💝 :
nimecheka sana 😂😂😂😂naomba niweke status
2026-05-05 05:49:13
158
snuggle.bug35
Snuggle bug🦋🦋 :
hii ndo furaha view once 😳😳
2026-05-04 21:15:33
111
www.poulsentanzania
MASALANGE -PANGAEA 1 :
ukiwa unatazama clip hii na unasisimka kama mimi kwa mapenzi ya yanga yetu basi milele yanga ni yetu
2026-05-05 09:11:35
91
nahd550
Nahd :
tunao view Leo hii like hapa😂😂
2026-05-10 13:20:45
5
user555097855177451fety
F@tma555097855177451 :
🤣🤣 Awaamini macho yaoo💛🖤💚
2026-05-05 15:59:52
5
norafloriani
@Norah-Ney❤️‍🔥 :
walibweka sana 😁😁
2026-05-05 13:13:27
8
neema.lema12
Ney10305 :
Hii siku ndo nilijua Nina Imani jmn mwenzenu niliamini yatarudiii na imani yangu ikaniponya Mungu ibariki yanga 🥰🥰🥰🥰
2026-05-05 11:34:08
35
neer1200
Pretty Nur :
😂😂😂😂😂nimechek sana kwa sauti nikajisahau kua nipo kazini😂😂
2026-05-06 05:45:49
8
user7507260270781
EMMY🥰 :
sijategemea nilichokiona mwisho wa video😁😁😁😁
2026-05-07 20:31:22
7
true.girl1
Happy🥰 :
hahaha tuliocheka tujuane ila napenda yanga jmn💚
2026-05-06 19:46:13
5
addie77f
🌼Official Adie♥️😔🦋 :
Hii ilikuwa comeback ya kibabe kwel 😂😂 nd siku nilingundua nin pressure 😅😅🙌
2026-05-12 09:18:17
6
jennifer.george437
Jennifer George :
😁😁😁😁😁 jamni yanga inafuraisha kweli jamn
2026-05-05 06:31:30
16
__kadrie5
😈 KADRIE 🍀 :
Mgeni kakataa soda anataka mia saba yake 😅💛💚
2026-05-05 18:20:50
5
achieng595
Ms~Maggy🦋💕 :
Huwa simalizi video bila kuangalia comment ila hii nimeangalia Hadi mwisho🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wallah Wana Yanga Mungu awape miaka mingi ya kuish💚💛
2026-05-06 09:59:35
8
ramney_accessoriestz
Ramney_accessoriesTz :
hii video mi nimeirudi mara ya tano sasa😂😂
2026-05-05 07:02:19
11
amina.juma833
Amina Juma :
nimecheka sana
2026-05-04 19:46:15
18
ladygidore0
ladygidore :
clip ya mwisho imefanya nionekane nimeanza kuwa na mambo mengi kwa ndoa maana nimecheka jamanii😂🤣🤣🤣🤣🤣
2026-05-05 08:43:16
13
25hashimu
user26050087080611 :
sijui ata nachek kwann😂😂😅
2026-05-05 04:15:14
29
ashreyaly71
ashreyaly71 :
iiipost nimeipenda mwisho😂😂😂
2026-05-05 11:55:38
5
zayroja4
Zayroja😍 :
Nimecheka sanaaaaa bwn
2026-05-05 10:20:18
5
ummybaby02
ummybaby02 :
Uwiiii
2026-05-04 16:36:33
9
To see more videos from user @nataclassic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About