Mbona ronaldo hujamzingumzia sna mzee😁😁 ujue pia una mashabiki wa ronaldo mzee dupa
2026-05-04 15:55:29
535
man wiizy :
sio Ronaldo sema The GOAT 🐐
2026-05-04 15:59:52
245
nono :
nikwako tuu ila huyo messi hamn kitu
2026-05-05 05:13:07
48
l.o.n.d.o.n3 :
nilijua2 namba moja razma awe ronado
2026-05-05 11:19:08
20
Ranvj Tz :
mess ilbidi awe namba moja
2026-05-05 02:53:15
31
🤴@king kidah_ :
mwanagu nakufagilia sana ila unachoniuzi kila m2 umemdefine why Ronaldo huja ongelea chochote kuhusu yeye acha ubinafsi wako huyo ndiye GOAT heshimu hilo bro yahn apotu ndo unapotuangushaga fan wako
kama tupo pa1 gonga like hapa
2026-05-04 19:00:21
179
Z@ZU MOX :
iron musk 1000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000900000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000 kwafedha yaki tz
2026-05-04 16:08:51
31
B :
Endelea kumsifia mess Ila Ronaldo ni moto 😁😁😁
2026-05-05 10:41:13
40
hafsaug :
As long as Ronaldo is number one I don’t care about the rest 🥰
2026-05-05 04:20:52
11
Amad dialo :
Baba mbn ronaldo hujampa heshima yake
2026-05-04 20:16:23
59
Batstar :
furaha yangu nikumona ronado kama na ww una mkubali tujuane