@mona_uzazi: Ni muhimu kufahamu mzunguko wako ni wa siku ngapi Ili uweze kujua siku ya hatari na siku sahihi ya kukamata Ujauzito na siku sahihi ya kupata mtoto wa KIKE au wa KIUME Kwasababu mizunguko imetofautiana kuna mzunguko kuanzia siku 21 mpaka 35 Je wewe mzunguko wako ni upi? #wanawake #mzungukowahedhi #swahilitiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪
Dr Mona Uzazi
Region: TZ
Monday 04 May 2026 16:27:40 GMT
Music
Download
Comments
precious light🌹♥️ :
cc wa kubadilika tukae wap😔
2026-07-18 16:39:09
1
Khadijer…🦋🫂 :
Nimemaliza period tareh 31/8 nikakutana na Mr tareh 9 kuamkia tareh 10 mwez wa 10 je mtoto atakua jinsia gan
2026-09-30 17:19:14
0
greth alvin :
je siku ya 16,17
2026-05-11 10:49:30
0
baby amii jr :
asante
2026-06-23 22:30:02
1
MamyG❣ :
mzunguko wa siku 26 je mtoto wa kiume
2026-05-12 22:35:43
1
apple🍏 :
na siku 24 please🙏 kipnz
2026-07-02 15:29:51
1
Irene shayo :
me naingia siku tatu lkn sijui mzunguko wangu ni upi
2026-07-08 13:20:28
0
cauthar17r :
siku ya kupata mapacha je?
2026-06-01 10:16:14
1
deedah66 :
je cku ya kupata mapacha
2026-05-14 04:44:13
1
fettybeautysalon :
Je cku yakupat mapacha wakiume?
2026-08-09 18:56:02
0
Rose.220 :
me mzunguko wangu 29 siku 4 tahere 5_9 hatar zip
2026-05-09 08:59:20
0
❤️thatgirlmaria🧸 :
jinsi ya kuhesabuu🥺??
2026-06-01 20:06:45
0
judii💓kasam :
na kama 5
2026-07-08 17:53:42
0
rose :
muzunguko wa Siku 26plz niambiye
2026-06-22 04:42:29
0
Hunny Njuguna2 :
mzunguko 35 iko wapi
2026-05-18 16:54:36
0
💞💞Gee baby :
me cjui lkn mzunguko wangu wa cku 30
2026-05-30 09:26:23
0
Mrunde olive :
mzunguuko wangu siku 36
2026-06-03 19:09:52
0
user5455015683363 :
Je siku ya 5 na 6 je
2026-05-15 15:12:11
0
Phina Nsumba :
je mtu mwenyew mzunguko wa 31 siku za hatar ni zipi
2026-05-18 19:17:32
0
irene :
je mzunguko wa siku 35 na naingia siku 3
2026-05-26 14:39:08
0
faith mwende :
circle yangu 32 uaza 22 it does not change date
2026-05-31 15:12:08
0
precious tee :
Siku ya 15 napata mimba
2026-10-05 10:50:28
0
Carol Cate 2🥰🧡 :
mzunguko wa 25days?
2026-05-30 17:28:22
0
user7368575238792 :
mimi sijui kuhesabu ungenisaidia
2026-08-07 10:02:15
0
maurini :
poa
2026-05-12 11:57:45
0
To see more videos from user @mona_uzazi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.