@madam_leila: Karibuni katika Darasa letu la pili la Online. Hii ni baada ya mafanikio ya Darasa letu la Smart Ladies Master Class. Katika Darasa hili tutakua na mgeni Muhimu na Mwanazuoni @izudin.alwy.moham Darsa hii inatakua ya siku mbili yaani Tar 29 na Tar 30/5/2026. Mada kuu nne zitajadiliwa pamoja na nafasi ya maswali na majibu. Washiriki ni watu wote, Wanawake kwa Wanaume. Nawakaribisha nyote kwenye Darasa letu hili Adhim na Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yetu. Kiingilio ni Tsh 50,000/= kwa siku zote mbili. Namba ya malipo ni Lipa kwa Mixx by Yas Namba: 8561947; Jina : Leila Chams. Kwa maswali, maelezo zaidi namna ya kulipa na kujiunga, tafadhali tuandikie kwa namba : (+255) 0757643746 WhatsApp na kwa Simu ya Kawaida.

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 04 May 2026 16:52:24 GMT
3508029
201981
1887
16388

Music

Download

Comments

mipango92
mipango :
NIMEKUBALI,,WANAWAKE HAWANA AKILI.
2026-05-04 17:46:52
964
veronicaoyieko4
vee :
halafu sasa kuna mimi hela zangu ndio zinatumiwa
2026-05-04 18:38:35
593
msudan93
Msudany 🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
sikuiz hatutaki ligi tena tunawafukuza tu🥺
2026-05-04 21:05:31
279
rebeccamawia1
🦋 Becky🦋 :
20/20 chap
2026-05-05 07:52:37
14
fredfred244
fred fred💫 :
20/20nalipa
2026-05-05 08:24:56
9
fn2025kl2
F . N :
Baadhi ya maneno yako hua yananiponya sana mwenzio kwakweli napenda darasa lako🥰
2026-05-04 19:27:19
147
military_mind5
military_mind5 :
Intelligent woman may Allah guide and protect you.
2026-05-04 19:43:38
147
tynertwigah
tyner twigah ❤️ 💫💜🔐 :
30/30
2026-05-04 20:02:16
13
ita_tosh
Ita_Tosh :
Usijaribu hii maneno hapa Kenya.
2026-05-11 11:29:05
6
innocentwamaniala
Innocent :
100/100
2026-05-07 10:44:25
5
hallyjohnxon
️ :
10/10
2026-05-04 23:22:23
9
massy.rich
Massy Rich 🎶🎼🥁🪉 🎻 ♊ :
nimecheka 😂😂😂
2026-05-04 19:10:42
15
momohnutrition
𝗠𝗢𝗠𝗢𝗛 𝗡𝗨𝗧𝗥𝗜𝗧𝗜𝗢𝗡 :
80/80
2026-05-04 21:33:14
18
user5474306988238
Nelson :
Nimepata code.
2026-05-08 09:15:46
7
babyluucollection
𓆩𝓑𝓛𓆪~𝓒𝓸𝓵𝓵𝓮𝓬𝓽𝓲𝓸𝓷 :
9/9
2026-05-05 06:44:22
8
reemismahan.ibrah
Reemismahan Ibrahim :
kweli kabisa madam leila
2026-05-04 18:48:28
12
sumaiya01192
sumaiya :
mmi niko tofauti mbn
2026-05-05 05:53:48
11
cheedjnr77
Cheedytz :
Mnapoandika comments jaribun kuwa wabunifu wengne furaha yetu kusoma comments zenu
2026-05-06 18:30:09
11
mchambuzihuru
Tajiri wa Kasulu :
kuoa sio jambo zuri kabisa
2026-05-06 04:05:40
60
minfabiola
Nyabwari :
yayeee😂
2026-05-04 18:58:22
16
kherisamtz
Kherisam Tz :
duuuh
2026-05-04 18:51:28
7
mikeboss596
Mike Boss :
sasa hii ndio ukweli upo kwa wanawake
2026-05-09 12:44:24
6
othiqqsoln
HK Gypsum&Decoration :
yan umenisema mm maana nikija nyumbani na furaha inaisha yote
2026-05-05 11:40:26
13
sumbua.wao.001
sumbua wao 001 :
Huyu dada ndio angekua advicer wa mama Samia she have wisdom mashallah she really talk's nicely 🥰🥰
2026-05-09 03:53:15
11
dennoohpeacemaker1
Dennooh Peacemaker🇰🇪 :
like anaongea point kabsa yan
2026-05-05 05:19:15
7
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About