@__wakali__: #WAKALIKWANZA #frrrrrryyyyyyyyyyyyyyyy #__Mkali__ #2026 #fyp

MKALI👣
MKALI👣
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 04 May 2026 17:10:36 GMT
297789
13063
440
1055

Music

Download

Comments

abdallahabdulrahman00
ABSAL MATAA YA MAGARI :
KWANI HAINA POWER BANK HII TRENI😁
2026-06-28 08:45:50
247
iam_sara_255
SIM :
Ingekuwa movie za kiindi apo ndo wanavamiwa sasa 😅😅
2026-06-28 12:09:49
73
mawaizashotvideoonlinisl
SHEKHE OTHMANI MAALIMU@ :
tumswalie mtume s,w,w
2026-06-28 12:24:48
11
ukhty.ammy
🦋Ukhty@mmy🧕 :
Na hapo hujapata yule alikuwa kweny lift hiyo saa1 mbona alitoka saa 7😂😂😂😂
2026-06-28 03:06:45
260
anethhinyura
jack cash :
kama tanexko jau gonga like
2026-06-28 11:08:04
21
black_d035
BLACK _D🪖🇹🇿 :
io video sio ya umme ulipo katika acha upotishaji hii nchi niyetu sote
2026-06-28 05:17:27
44
zexizotz
Zexizo :
Tupande Bus jaman sijaamini jana aloo
2026-06-28 11:22:00
22
lillian.umburi
bby girl :
namuhurumia aliyekuwa kwenye lift hyo saa 1🥺🥺🥺
2026-06-28 09:57:27
16
d_lastborn5
D.last born🫣 :
nichangishieni nilipe deni la songesha
2026-06-28 08:20:17
7
mrperfecttwaja123
Mr perfect :
Nan mwingine anadaiwa songesha
2026-06-28 06:18:28
50
ally.sudeisaly
Ally Sudeisaly :
nilikua kwenye lift
2026-06-28 08:35:23
12
chitta.boy8
chitta boy :
wamekesha hapo hapo
2026-06-28 06:53:04
15
lukamatete_tz
LᏬᏦǺᎷǺᏖᏋᏖᏋ-Tፚ :
haijakwama, hapo ni kalibu na Ngere ngere huwa inasimama kupishana na express, sijui ni kwa nn ila ndo hivyo muache kueneza habari potofu
2026-05-05 09:07:56
236
_lone.wolf_47
_LONE WOLF 🇹🇿 :
shwaaaaaaaaaaa😂
2026-06-28 07:52:21
4
moni40873
moni :
🤣🤣kwani halina power bank jamani
2026-05-05 08:48:01
124
kuruthumu201
kuruthumu :
Mna chuki sana haiwasaidii kitu
2026-05-05 13:40:13
31
user8280803212445
Actions :
hii nd tz
2026-06-28 13:29:05
0
itorpa
Jenny🌸 :
views status mkuje
2026-06-28 13:06:03
0
shiri395
Tumaini :
Tatizo serekali Ina penda kujiamulia mambo 🫵😜
2026-06-28 11:42:28
12
being__nadear73
nadyaharoun41 :
kama ulikwepo gonga like apo
2026-06-28 11:12:29
6
unclebenny_12
Bensoul :
hello 👋 it's kondela hapa karibu kusikiliza wimbo wangu mpya 🎶🎶🎶🎶🎶"your my sugar...." ..get back to your music 🎵😂😂
2026-05-05 12:36:50
8
santa_ritha_ensamarco
Santa_ritha_ensamarco_bucha :
Aibu sana...tunataka kwenda na wakati wakati wakati haututaki
2026-05-05 10:54:37
5
ashabryton95
Ishaa apartment kigamboni❤️🥰 :
😂😂😂😂 We nae ulikuwa wapi
2026-06-28 08:43:44
5
To see more videos from user @__wakali__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About