@safisha_mazingira: #zanzibar🇹🇿 #safishamazingira #safishamazingira #onthisday

3z ukumbusho tv
3z ukumbusho tv
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 05 May 2026 18:40:50 GMT
94660
2309
961
273

Music

Download

Comments

saviourlife
unknowparson :
ukimskiliza kwa makini huyu n mnafiki
2026-05-06 15:36:10
51
user4498596793355
salafi :
Asalam aleikum al akhi mm nakuomba utubie kwa Allah kwa sababu kwa maneno yako haya yanaonyesha wazi kufanya kwako istizai katika dini ya uislamu na kulingana na mafundisho ya uislamu mwenye kufanya istizai na dini amekufuru . Mche Allah na tubia kwa hili dhambi la sivyo taarisha majibu kwa Allah
2026-05-06 07:04:06
108
official_mamen_g7
Zey :
umeriitadi ushatoka zamani sana maana ww tayari hunaimani
2026-05-06 03:17:05
25
bin.masoud0
BIN MASOUD :
umetumia akili kubwa sana kwa atakae kuelewa
2026-05-06 06:04:26
36
abuusalmamndeme
Swaleh🇹🇿 :
wengi wamekurupuka ku comment ila kwa muelewa ameelewa nahisi kama nimekuelewa sana allah akubaaric..
2026-05-06 05:38:33
30
madamlove98
madam love💖 :
Kaka mungu akubaliki sana Kristo ndia yakweli na uzima wamilele amen🙏
2026-05-06 11:44:52
10
abdalla.juma60
Abdalla Juma :
ww nenda haina haja ya kujitangazia
2026-05-06 03:02:56
11
king_noah99
King_noah99🤴🦁 :
Njia ya kweli ya uzima ni YESU ukiwa ndani ya Yesu kuna amani bila shaka🙏 ASANTE MUNGU KWA HILI
2026-05-06 06:58:48
16
masterfcmobiletz
Hamadi Mwegale :
daaah kak wakina nani wanakuripa awo Ili umuasi Allah kak nimekuonerea huruma sanaaa
2026-05-05 21:25:09
17
abia.daud.malckan
abby :
Nilichogundua wewe mvivu sana
2026-05-06 16:21:00
8
yusrah.ym
Yusrah💓💓 :
watakaokuelewa ni wachach sana
2026-05-06 06:15:40
8
millanzi.one
Millanzi One :
Njoo Baba Njoo Karibu Sana Sababu Yesu Ndio Atakayerudi Siku Ya Mwisho
2026-05-07 07:14:49
6
mjukuuwamnyasa
Mjukuu WA Mnyasa :
karibu sana aisee umechagua njia sahihi
2026-05-06 18:52:32
7
rashidmwariko
Sea waves :
Kaka wengi akili zetu ni fupi kwenye mind games kama hizi na hawatakuelewa but good job for such an aproach
2026-05-06 05:22:58
10
king_hassanay
@King_hassanay :
Bro,.Ushakufuru kwa Allah na matamshi yako mwenywe, Allah Akuongoze InshaAllah
2026-05-06 07:34:00
6
black_light77
Nur🌹 :
Waliokuelewa watakupongeza akhi, we are proud of you☺️
2026-05-06 10:38:14
9
hourkhateeb
Hawa :
MashALLAH bro umetunga tungo nzuri kwa wenye kujua maana wasiojua hawatokuelewa ulichomaanisha
2026-05-07 09:18:24
5
abdul_wakkil
Abdul wakkil :
hata katika maisha hakuna njia ya Shortcut
2026-05-06 08:54:01
5
abdulmajid8114
abdulmajid :
wakati mwingine tunaweza kusema maneno bila kukusudia, lakini ni muhimu kujikumbusha kumcha Allah katika kila tunachosema. Kama kuna lililopita, tuombe msamaha na tujirekebishe. Allah ni Mwingi wa kusamehe
2026-05-05 19:40:31
11
chepinho.da.merina
Chepinho-da-merina :
Sema tu Kweli my brother
2026-07-05 04:56:44
0
patrickpeter.masu
Patrick-peter masunyilo :
chaguo jema sana,karibu kwa Yesu kunaraha sana.
2026-06-18 20:32:45
0
zamzam.ali49
Zamzam :
kama n content you have gone too far
2026-06-24 04:52:30
0
user7395503869808
Mike, angel :
Aaaaamen 🙏🇰🇪💥🙌🥰 ubarikiwe yesu akufunulie zaidi kaka ujuweukweli maali ulipo
2026-06-10 20:46:30
0
user2693822981166
إبن قدامة :
بارك الله فيك اخي الكريم
2026-05-07 20:03:13
1
modyrayo
Mody Rayo :
Usikimbilie ku comment, kwanza elewa. Ana elimu na busara huyu, hataki kabisa kufanya ugomvi✨ Mwenyezi Mungu akubariki. Asalaam Alaikum warahmatullah
2026-07-15 11:39:23
1
To see more videos from user @safisha_mazingira, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About