@bongofacts_tz: Maisha hayajawahi kuwa marahisi na Wala usitegemee kukutana na maisha marahisi kwenye ulimwengu huu, silaha pekee ni kupambana tu na sio kujiangamiza Kwa tamaa za kidunia. Linda utu wako, pambana sana, omba mungu akupe moyo wa uvumilivu na apo utafanikiwa 🫵 #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #trending #fyppppppppppppppppppppppp #life