@ismailomar6105: Elimu ya afya Bora #tanzaniatiktok #lishe #viralvideo #kenyatiktok #Uganda

๐Ÿ”ต Ismail Care TZ โœ”๏ธ
๐Ÿ”ต Ismail Care TZ โœ”๏ธ
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 06 May 2026 07:20:12 GMT
47372
1157
65
246

Music

Download

Comments

jessy24.jol
Jessy24 Jol :
weee hapana jmni mmi had afike 10yrs
2026-05-15 13:58:17
21
the_realmafia770
FRANK ๐ŸŒด :
Kumbe ndo maana nakibamia daah poor me ๐Ÿฅบ
2026-05-16 06:41:05
10
selinamgonda
xchn :
mwanangu nilimtahiri akiwa na miaka miwili...oooh jmn Hadi Leo akiona mtu kavaa nguo nyeupe anasema huyu anakata....ukiingia nae butchan akiona na vile visu analia Hadi anakakamaa๐Ÿคฃ
2026-05-06 14:12:59
11
khadijamsechu845
Khadija Msechu :
sahihi wangu nilimkata akiwa na mwaka na anamzigo wake mashaallah Mwenyez Mungu anikuzie vyema mume wa mtu
2026-05-15 14:18:19
30
modernbeauty02
Hawa modernbeauty02 :
Nawatahiri wakitoka arubain tu washapoa zaman๐Ÿฅฐ
2026-05-15 14:56:17
12
fahy451
Fahy45 :
Hapa wapi jmn
2026-05-15 10:40:24
1
rahma.vuaihaji
Rahma Vuaihaji :
ukweli mtupu
2026-05-15 18:46:31
2
user5237684576581
NandJlove :
weee sitak
2026-05-15 07:51:13
4
tatu_cute1
tatu๐Ÿ’ƒ๐Ÿฆ‹๐Ÿ“Œ :
akaa sitaki mm
2026-05-15 20:48:11
0
roselissah
rose๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน :
Ohoo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-05-15 19:53:42
0
fatimakingube1
Fatima Hamis kingube :
yaan ktk vitu ambavyo nasahau ni kumtahir mtt sijui kwa nn mim
2026-05-15 11:08:10
5
amina.bonge
Amina bonge :
Mwanangu nilimtahiri akiwa na miezi minane Tena ndio vizuri asumbui na anapona haraka sana
2026-05-06 13:18:42
11
faidha.masud
Faidha masud :
hpn me stk jmn wangu mpk afikishe 10 years
2026-05-15 16:20:59
2
iriel7775
Iriel Andrew :
mimi wangu ana miaka miwili ni bei gani kumtahiri
2026-05-15 12:15:30
1
tivadezy_14
it ladydat ๐ŸŽŠ :
VnaumiAa lkn
2026-05-15 15:10:48
1
johnsonlekashu
Johnson :
unapata kibamiaa bwan
2026-05-15 11:50:38
3
mangi205
MEMES :
kerege
2026-05-15 09:29:21
2
aaradiya59
aaradiyaโค๏ธ :
Wangu nilitahiri akiwa na na wiki tatu tu nilovyaza
2026-05-15 15:33:06
3
jackline_bulagi
JACKLINE BULAGI :
nilimtahiri akiwa na miaka miwili
2026-05-16 06:27:20
1
duka_la_vyombo
Duka_la_Vyombo :
wangu nilimtahiri kwenye arobaini na wala Hana kibamia
2026-05-16 03:41:39
1
rachel.munuta
doreen munuta :
kibamia kibamia
2026-05-06 15:38:48
2
mimah.harith3
Mimah Harith :
mmmnh me wangu yupo darasa la 2 mwakani ndy nafyekelea mbali kigovi chake.
2026-05-15 14:38:34
1
preciousmanka505
prince madolar :
Mwanangu ni mduchu namxbr achangamke
2026-05-18 09:50:25
0
eliakavishe071
Dj At Sunrise ๐ŸŒ… ๐ŸŽง๐ŸŽ›๐Ÿ”Š :
wee tunaijuwa iyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-05-21 05:10:02
0
khanymee7
khanymeen :
nmemtahiri mwanangu siku aliyofikisha mwez
2026-05-16 08:10:57
0
To see more videos from user @ismailomar6105, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About