@madam_leila: Karibuni katika Darasa letu la pili la Online. Hii ni baada ya mafanikio ya Darasa letu la Smart Ladies Master Class. Katika Darasa hili tutakua na mgeni Muhimu na Mwanazuoni @izudin.alwy.moham Darsa hii inatakua ya siku mbili yaani Tar 29 na Tar 30/5/2026. Mada kuu nne zitajadiliwa pamoja na nafasi ya maswali na majibu. Washiriki ni watu wote, Wanawake kwa Wanaume. Nawakaribisha nyote kwenye Darasa letu hili Adhim na Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yetu. Kiingilio ni Tsh 50,000/= kwa siku zote mbili. Namba ya malipo ni Lipa kwa Mixx by Yas Namba: 8561947; Jina : Leila Chams. Kwa maswali, maelezo zaidi namna ya kulipa na kujiunga, tafadhali tuandikie kwa namba : (+255) 0757643746 WhatsApp na kwa Simu ya Kawaida.

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 06 May 2026 07:20:48 GMT
686103
51560
593
2621

Music

Download

Comments

msmjeshi
MISS MJESHI❤️🪾 :
akinipa ela ni upendo tosha mengne hayaniusu
2026-05-06 14:24:58
212
dismaindar
mine kidot :
nikwel tunajua kuwa atupendwi
2026-05-06 08:16:01
186
squeeze_printing
@PrintSparkDesign :
Natamani ningesikia haya before
2026-05-06 08:19:11
94
user39199180805301
charitable :
me najua sipendwi lkn dawa yake ipo
2026-06-12 19:13:58
10
biomythegirl
BI OMY :
mi najua ndio mana nisha move on alikin bado tupo wote😏😂😁
2026-05-06 13:06:48
74
user6661843656811
Mrs 🍓🥰 :
tatizo moyo na umpendae hakupendi
2026-05-07 14:36:24
22
zuwenaabdullakham
my zuu :
Hii nayo point mschana usipendee we ndio upendw I like 🥰🥰 hakika naendelea kujifunza
2026-05-06 07:33:28
46
ms__rd6
Ms__Ria👸🍎 :
Mpenz wang ukiona hii jua nakupenda tuliza moyo🥰🥰🥰
2026-05-08 14:59:44
13
khalima.sadsad
🎀nana🦋❤️❣️ :
Nakukubali sana dada kupitia wewe nimefaidi vituvigi
2026-05-06 11:42:47
32
da_preccy33
da_preccy33 :
I’ll get married once-to the right man🙏
2026-05-06 09:16:41
44
user48602258506812
Sabrina :
Huwez kuongea point nakukunyima like
2026-06-08 14:17:39
6
pascalina0301
pascalina :
ata mimi najuwa sipendw🥺
2026-05-07 20:18:57
10
user947796947740
Judy :
Mwenye ananipenda simpendi mwenye nampenda hanipendi
2026-05-07 14:01:14
14
momo46289
momo❤️🦋💅 :
najionea huruma 🥹
2026-05-21 05:12:44
7
jopy96
Josphine 😉 :
ananipenda kwa mbali😂😂😂
2026-05-07 05:26:22
11
vanyquish
VANYQUISH✅ :
Wapelelez wenzangu 😇
2026-05-09 18:01:16
8
allywilla
MIDO ALLY✊ :
Huyu dad huyu
2026-05-06 08:08:53
11
veronicaoyieko4
vee :
me niko sure sipendwi but ni sawa tu
2026-05-06 16:27:56
45
user6818125137821
hazlat 💞💞 :
me naomba Mungu anipe mwenye kheri na mm🙏
2026-05-06 15:14:34
14
shakyscute
Shakyscute :
🥰🥰🥰 Nakupenda San madam Leila
2026-05-06 07:58:28
18
amoredidah
Amore Didah :
mimi najua sipendwi na sipelelezi maana mm mwenyewe sipendi tena, mapenzi niliwachia my x. Wacha niendelee kupenda my kids.
2026-05-08 05:20:55
7
mziwanda.g
mziwanda g :
jiwe hiloo
2026-05-06 09:22:11
6
da_bonge_og
Da Mzuri 🧕😜 :
TRUE MADAM NAKUPENDA 🥰🥰
2026-05-06 08:01:02
11
abu.huda05
Abu Huda :
hy mwanamme yeye ni mhh mhhhh mhhh dah
2026-05-06 08:14:55
35
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About