Sema hizi Samsung nyingi za A series nyingi huwa ni za bei ila Kwenye Ram tu huwa hawa zitendeagi haki kwa mfano kama hii Samsung A57 ya milioni eti ina Ram 8 kwa 256 wange weka Ram gb 12 kwa 512 ingekuwa na thamani sana
2026-05-07 06:21:36
3
Hadija Lobo :
A26 sh ngapi
2026-07-22 07:28:27
0
adamgao599 :
A56 sh ngap
2026-05-19 13:33:24
1
البارود :
Simu zote za samsung a hakuna kitu hapo 😂😂
2026-05-20 03:48:19
0
Rehema :
Mine
2026-07-17 16:37:47
0
dullatenda :
hakuna kitu cha mana apo zomm mwisho 10 ya milioni lako 3 hazina ishuu
2026-05-08 18:03:30
1
Lindah Haonga :
A 56 bei gani,,,yenye ram 5000 na gb 128
2026-07-07 05:15:05
0
Annie :
mnafanya topup?
2026-06-02 14:27:23
0
Amina beuti salon :
A17 bei gani na ina GB ngapi
2026-05-23 07:21:35
0
kokutona :
bei gan
2026-05-07 09:26:11
1
Sophia ngowi :
A52 bei gani
2026-06-04 17:52:52
0
GEOFREY :
a36 yangu ya 5G inantosha sanaaa
2026-05-22 10:45:07
0
kilimo kwanza :
hii nimenunua miaka miwili nyuma bado new brand 😂
2026-05-06 18:09:26
1
Mery Agustino :
ndio simu yngu
2026-05-26 17:16:43
0
Said :
bei gn
2026-05-06 10:20:46
1
neyma mrema :
shingap boss
2026-05-06 10:22:27
0
Eve kurui :
ati milioni ngapi
2026-05-08 09:53:28
0
felixabas5 :
samsung A15 bei
2026-05-07 10:13:15
0
Jofrey daniel. :
mna bei dunia ya saba
2026-05-08 22:19:17
0
Msouth54🇿🇦 :
Bei ya s20ultra
2026-07-24 12:51:18
0
boss mom💓 :
kutopap ipo?
2026-05-07 18:52:13
0
Faustin Hamisi :
shingapi
2026-05-13 17:49:01
0
Adam bilali :
shingapi kak hiyo sim naitaji
2026-05-06 10:49:49
0
To see more videos from user @samsung.255, please go to the Tikwm
homepage.