@bbcnewsswahili: Duniani kuna nchi ambazo ni ndogo sana kiasi kwamba unaweza kuzizunguka kwa muda mfupi hata ndani ya siku moja. @kenanivictor anaelezea nchi tano ambazo ni ndogo zaidi dunian #bbcswahili #foryou #fyp

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 06 May 2026 10:49:06 GMT
142719
5705
43
234

Music

Download

Comments

johnson_tz
dudukwe :
Zanzibar
2026-05-06 17:38:43
3
lgs1305
LGS :
mmh! Monaco nchi,?
2026-05-07 13:13:49
1
erlinghaaland6525
erlinghaaland6525 :
vipi Rwanda na Zanzibar
2026-05-09 21:25:40
1
anania.august.jos
Anania August Joseph :
good 👍👍
2026-05-13 08:50:09
0
deogratiusernest
D E O G R A T I U S :
monaco nchi ya wala bata sana
2026-05-09 17:56:19
0
richardrwaja1
Rird Rwaja :
Monaco??
2026-05-06 15:57:55
1
a.p.c.boy
A P C BOY :
Kenya
2026-05-08 20:30:25
0
anwarkassim375
Annuh! :
Qatar
2026-05-06 17:47:32
1
ramamobilehub
Rama Mobile Hub :
idadi ya watu
2026-05-06 11:02:41
4
user86197756380
Mohammedy DSM :
Sio nchi hy
2026-05-06 12:25:08
1
ayoun_05
🦋عيون🦋 :
Kwaio Zanzibar haijulikani kama nchi 😭
2026-05-06 13:58:34
4
255freeman7
Lion Billioneire :
kilimanjaro sio mda tutajimiliki na kuwa tawala kamili
2026-05-06 12:37:43
4
israad123
Wazalendo media :
n mm ru ambaye sijui kupima kilomita za mraba au?
2026-05-08 16:09:04
1
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
sasa vatcani nayo ni nchi ama mtaa😁😁😁
2026-05-06 15:46:41
4
user71433861006503
Steven philip :
uongo
2026-05-07 14:53:07
1
user9502183373320
haas :
mbona znz hijaitaja
2026-05-06 19:14:28
1
chiefwanguro
WANGURO :
👌👌👌 true
2026-05-07 20:54:05
0
othmanii85
othmani :
niipi inazidiwa ni pemba
2026-05-07 17:45:43
0
mmangahamad775
what happened 😕 :
licha ya kiwa zanzibar ni ndogo ila huimalizi kwa siku moja . tuacheni unafiki wakuu
2026-05-08 20:56:57
0
user5544367581503
🦋Jesus Daughter 💒🌻❣️ :
kweni Zanzibar ik wp tanzania au
2026-05-08 10:46:20
0
user8185106796083
Edson jay4 :
bora nika ishihuko kuna mungu
2026-05-07 06:10:32
0
sabigirl025
Sabi girl 🫅 🇹🇿🇹🇷 :
Napataka huko
2026-05-07 19:01:13
0
rafaeli.maiko
Rafaeli boy :
🥰🥰🥰
2026-05-06 11:24:41
2
fund.issa
Fund issa :
🥰🥰🥰
2026-05-06 14:24:32
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About