Mpenzi naomba ukiwaandikia watu hizo gram uwaambie ni sawa na vikombe au vijiko vingapi kuna watu hawaelewi kabsaa mambo ya gram hasa mm nnapata tabu nikiambiwa hivyo
2026-05-23 06:37:41
11
rizmeenah :
2026-05-22 15:54:56
14
careen Kasililika :
kwenye vipimo nimeshindwa jamanii mweeeeeeh
2026-05-22 16:58:27
5
sweetpie :
hapa nilichogundua ni kubwa wanadhani cake lazima uweke butter mimi huku Gulf kutoka nije sijawahi kuona butter kwa cake n mafuta ...
2026-05-22 16:05:48
4
khadija abrahman :
mkate wa mayai hauwekwi mafuta
2026-05-22 15:24:19
0
chalii :
huu ni mkate wa mayai na sio keki
2026-05-22 13:58:40
1
Hidden pearl :
vipimo in cups plz
2026-06-14 11:36:54
1
continentliyama57 :
Aisha km huna cha kuchanganyia siwezi nikachanganya nikasaga kwenye blenda nauliza
2026-05-26 12:01:50
1
🦋Fatma🦋 :
yangu hio nilijaribu tuh 🤣🤣🤣
2026-06-02 17:00:19
6
fatmanatasha1 :
Kule umeandika mayai 6 kwenye mes imeandika mayai 8 please kipo kipo Sawa
2026-05-09 00:04:27
1
Princess ai :
kipenz kuu unaitwa mkate wa mayai
2026-06-24 07:15:09
1
salama tamim :
namba ya simu tunaomba ya kwako
2026-05-23 04:59:22
0
Nassra Al Zakwani :
Amazing. Thanks for sharing 🥰🥰🥰 Will try it In Shaa Allah
2026-05-22 21:20:52
3
Mourine :
Nimekuwa na shida kupika keki lakini leo nimetumia presha cooker ya stima,keki imekuwa sawa kabisa,hizi ovens zingine haziivishi keki ipasavyo
2026-06-13 20:19:08
2
ILUS CAKES :
mbona hukutuma vipimo vya mahitaji umesema mayai 6 na unga kiasi gani tuelezee vizuri
2026-05-24 09:25:50
0
... :
kiswahili mkate wa mayai,kizungu sponge cake
2026-05-22 20:35:51
2
HAFSWA SALIM :
MashaAllah MashaAllah nice 😍
2026-05-22 11:06:32
2
fetty573 :
naomba vipimo
2026-05-23 06:07:10
1
hidhri :
hiii sauti fau
2026-05-22 14:48:12
1
@kubali yaishe :
dadangu mpendwa umeweza mashallah 👍
2026-05-23 03:23:17
1
anjiespicey :
Dada Fau was confused thought someone was using your video in their channel kumbe ni ww , didn’t know you have another accaount
2026-05-07 10:47:35
2
anjiespicey :
Keki nzuri 🥰
2026-05-07 10:47:43
0
sajdat_wedding_dresses :
kipenzi kwaiyo huu sio mkate wa mayai ee
2026-05-22 13:45:39
2
📌زهرة♡🫧 :
180ml kwa glass ni kiasi gani
2026-05-07 11:15:55
2
To see more videos from user @aisha.delicous, please go to the Tikwm
homepage.